hahahahaa nimekuelewa bas...lakini kwa sasa uchumi ndogo ndogo kama ya Uganda haihitaji mwendo kasi..mwendo kasi si utabeba mizigo umalize kabla ya saa sita mchana kufika..nasema hivi kwasababu mizigo ya rwanda na tz sidhani kama ni za kutosha...mwendo kasi ina make sense kwenye nchi zilizoendelea zinazofanya biashara ya magnitude ya juu....besides, sasa hivi mzigo kupeleka uganda inachukua zaidi ya wiki...reli hio ya moshi itapunguza mpaka kwa 24 hrs pekee yake......sidhani kama kuna haja ya mwendo kasi jinsi mizigo yamo wastani tu ukilinganisha na mizigo ya europe mfano