Zipo 8 acha ujinga. Hizi za pembeni ni sehem nyingine ya barabraUnajua kuhesabu leni kweli?
Zipo 8 acha ujinga. Hizi za pembeni ni sehem nyingine ya barabraUnajua kuhesabu leni kweli?
Hihihihi.....Zipo 8 acha ujinga. Hizi za pembeni ni sehem nyingine ya barabra
Hio si pipeline.On the left buruburu na right side ni umojaHiyo barabara ni noma sana na pia naona pipeline estate hapo ambayo inaezameza kariokoo mzima mzima
Hiyo barabara ni noma sana na pia naona pipeline estate hapo ambayo inaezameza kariokoo mzima mzima
We mtoto unataka nishindane na wewe hili iqeje umejiunga jf 2017 lakin account inapost 3000 plus hv kweli una kazi ya kufanya wewe au unashinda jfAcha brabra weka picha ikiwa Nairobi😀😀
Hahahaha.......watu watafute kazi.We mtoto unataka nishindane na wewe hili iqeje umejiunga jf 2017 lakin account inapost 3000 plus hv kweli una kazi ya kufanya wewe au unashinda jf
Hana kazi huyo, mie account yangu 2011 haina post zaid ya 1200, kajiunga mwaka jana post zaid ya elf 3 sasa ana kazi huyo kwanza wawezajua ni mtoto wa miaka ya 90sHahahaha.......watu watafute kazi.
Tuonyeshe 12 highway roadUpdated list
1. BRT
2. Cable Stayed Bridge
3. Toll road
Nairobi
1. UN Agency Headquarters
2. 12 lane highway
3. Uber helicopter
4. 3D Printer
5. LED lit buildings
6. Functional SGR
7. Rail Tunnel
8. Road tunnel
Kila saa yumo humu. Labda ni Kijana wa shule ya upili maana arguments zake huwa immature sana.Hana kazi huyo, mie account yangu 2011 haina post zaid ya 1200, kajiunga mwaka jana post zaid ya elf 3 sasa ana kazi huyo kwanza wawezajua ni mtoto wa miaka ya 90s