NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,382
- 17,965
A smart way to respond to an idiot.
A smart way to respond to an idiot.
ni kweli mi ni jizee la 60s na wala sijarihuwa naogopa kuku engage jinsi ulivo teen kiakili jizee kuukuu la 60s😀😀😀umenyoa mvi na cabbage kwenye makwapa lakini?😀😀😀 lakini ni just jokes
. 

😀😀😀sawa mzeeni kweli mi ni jizee la 60s na wala sijari.
shida yangu ni wewe kijana wa 20s na tabia yako ya "use.nge_nyaji".
mungu akikuweka hai ukafika umri kama wangu wa 60s utakuwa tayari ni "mse.nge_nyaji" uliyekubuhu.![]()
density ya upanga itaichukua upperhill 20yrs my friendHii upanga kweli ni panga kali. Upperhill imeishindia kidogo tu. Hongera zenu
WE SHOW ONE TOWER BUT THE BIGGESTAt least tunaonyesha three towers. You only show one tower.😀😀😀 Nairobi is a city of one tower😀😀😳View attachment 752183
Yani since hii thread kuanza naona buildings tatu za blue na vibanda Mia moja hapo CHINI kwani nyinyi watu WA Tz hamna kitu ingine mpya... Nkt!! Mna Boo... Na kwa wale mnadiss KIBITCH kwani hamjui huko ndio maceleb hutoka... Dar mnajichocha na diamond alikiba wooteh wanaishi Nai including Mr nice mwenye NI hustler ghettoDar es salaam
![]()
Tallest than your tower mbili towers
Yani since hii thread kuanza naona buildings tatu za blue na vibanda Mia moja hapo CHINI kwani nyinyi watu WA Tz hamna kitu ingine mpya... Nkt!! Mna Boo... Na kwa wale mnadiss KIBITCH kwani hamjui huko ndio maceleb hutoka... Dar mnajichocha na diamond alikiba wooteh wanaishi Nai including Mr nice mwenye NI hustler ghetto
Haha kisa ilo gofu auMombasa is better than dar is slum.

Nyumba moja kuukuu na vibanda 200 kandoWE SHOW ONE TOWER BUT THE BIGGEST
chakwanza karibu sana mgeni jamii forum 😀😀Yani since hii thread kuanza naona buildings tatu za blue na vibanda Mia moja hapo CHINI kwani nyinyi watu WA Tz hamna kitu ingine mpya... Nkt!! Mna Boo... Na kwa wale mnadiss KIBITCH kwani hamjui huko ndio maceleb hutoka... Dar mnajichocha na diamond alikiba wooteh wanaishi Nai including Mr nice mwenye NI hustler ghetto
hakuna archtech mbabaishaji kama aliyebuni hili jengo duniani.jengo la ki
ipuuzi sana.
sin uhakika kama hata kuna kampuni ya maana imepanga hapo.
Ukute ni El matodar kaja kivingine
tisha sana hii.....yaani ni nowmaLife Club yazinduliwa maeneo ya Mwenge
Mkubwa wa TPA anavaa suti ya 2,000/-.vita vya rwanda na burundi na congo tushavimaliza sasa tunaanza uganda viva magu😀😀😀
View attachment 752949
wanakuja halafu wanakuambia eti nairobi ndiyo face ya east africa....Punguza hasira sio sisi ni NairobiView attachment 752081
wakenya ni wajingaToa vigezo vinavyokufanya useme Nairobi ni jiji la maana wakati
1)It has high rate of unemployment
2)Highest crime rate
3)Big and largest number of slums
4)Big gap between rich and poor
5)Very primitive and disorganized public transportation system
6)Very dirty
7)No enough water
8)Poor sanitation
9)Poor public Hospitals
10)Tribalism.
These are indicators of development.