Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es salaam. Ooh mama !
InstaSave.jpg
 
Sasa mwaka huu tunafungua MNF towers ni 5*hotels zenye 30flr each mnakaribishwa maana Kenya hamna vitu kama ivyo...
 
80km/hr apo ndio maximum speed hehe afu ni mpya sio tazara ya miaka ya 1900's
Mna utani nyie
unajua mkona kaushamba flani nyie wabongo..yaani mnaskia reli inajengwa mnadhani mmefika sijui mbinguni au...hahahahaha...railways are not just about electricity or beautiful trains or beautiful stations....cha muhimu ni biashara inayofanya reli...mfano cargo ya Uganda itakua inapitia reli hii...piga hesabu impact kwa economy...sasa beautiful trains zisizobeba mizigo ya kutosha ni za kazi gani? jiulize swali hilo kisha utafakari...sasa hivi mizigo imeanza kupiku mpaka Nairobi depot imeanza kuwa na cases of overflow...hela inayoingiza hii reli ya moshi huwei fananisha na reli yenu inayopeleka mizigo nchi ndogo ndogo kama rwanda
 
Ww umetafsiri kama ushamba lakin kaa ukijua muda ni pesa...iyo sgr zaidi itafungua Tz uko nje ni ziaida...kwanza itapunguza barabara zetu kuharibika kila mara pili itapunguza gharama za bishaa kwan usafirishaji utakua rahisi zaidi ya sasa
Haujataka kuangalia muda ndio maana ujajisoma point yangu ya msingi,manake katika kila saa moja mnakua nyuma kwa 40km kama ni safari ya saa nane inakuaje?
 
Back
Top Bottom