MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,081
- 35,384
Wacha kukurupukalargest water park in east and Central Africa sultan palace beach kilifi, Kenya View attachment 753478
Wacha kukurupukalargest water park in east and Central Africa sultan palace beach kilifi, Kenya View attachment 753478
na hii funcity ndio largest of its kind in east and central africa hakuna mchezo utaukosa hapo😀😀largest water park in east and Central Africa sultan palace beach kilifi, Kenya View attachment 753478
the tower looks like watchtower signaling ships over horizon
wonderful!!! looks like the rains have mad this road more appealingOutering road eastlandsView attachment 753278 View attachment 753279
Hiyo barabara ni noma sana na pia naona pipeline estate hapo ambayo inaezameza kariokoo mzima mzima

hivi unaijua kkoo kweli,au umeamua ti kuzingua!!!!???Hii point
Dar ipo ya ndege dar
Haya no maandishi tu ya brt ila sioMkuu brt nairobi ipoView attachment 753147
Alaf acha kijitoa ufaham. Kila kitu kipo hapo. Kama ukitaka niambie nikupeleke maeneoNairobi hata bidhaa ni nyingi kuliko Bongo kuna vitu huwa natafuta Tanzania sipati ila Nairobi napata na pengine dar inatumia Miaka mingi badae kuvipata nitakutajia vitu nilivyowahi tafuta muda dar sikupata nikapata Nairobi
1. HiTi photo Kiosk Printer
2. 3D printer
3. Infinix na Xiami phone kabla hajaanza kuziagiza agiza china kwa njia ya mtandao Nairobi zimejaa
4. Spea za Magari mara mbili nimeagiza Nairobi dar hakuna moja ilikiwa ya Nissan Xtrail ilikuwa 2011 nyingine ya Subaru
5. Kuna DSLR camera pia niliipata Nairobi hapa ilikuwepo duka moja posta bei ilikuwa Moto.
6. Soap base aisee hii mpk leo sijawai ipata ni blah blah tu mtu anakwambia fata huku mara kule lakini Nairobi hata uki google utapata mtandaoni
7. Nairobi vitu vingi wanaweka online na info unaweza kujua kipo hata kwa ku google
Mnyonge mnyongeni Wakenya haki yao Wapeni wapo mbele yetu.
Mbona sion lane 10 hapo?
Onyesha kwa pichaDar ipo ya ndege dar
Unajua kuhesabu leni kweli?Mbona sion lane 10 hapo?