ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
na tutasubiri tuhesabu sio mutudanganye kama prism tower ila wakenya kwa kupika data kiboko aisee😀😀kusubiri pia ni kwa hiari😀😀😀mna uhuru wa kusubiri..
na tutasubiri tuhesabu sio mutudanganye kama prism tower ila wakenya kwa kupika data kiboko aisee😀😀kusubiri pia ni kwa hiari😀😀😀mna uhuru wa kusubiri..
Ilala hata tukiipatia 10 years haiwezi fika pahali Westy iko sahii. Your city is uglyyyyyyyyyyyyy especially from aerial view. Mko allergic to green spaces.heheh umeona na hio picha ni ya 2 yrs back sasa hvi ni mara mbili ya hio pic😀😀😀😀
wacha tupike tu...na tutasubiri tuhesabu sio mutudanganye kama prism tower ila wakenya kwa kupika data kiboko aisee😀😀
hehehe dunia nzima inawafahamu kwa kupika data 😀😀😀😀😀 sijui muna matatizo ganiwacha tupike tu...
westie ati inafananishwa na ilala bana...bangi mbayaIlala hata tukiipatia 10 years haiwezi fika pahali Westy iko sahii. Your city is uglyyyyyyyyyyyyy especially from aerial view. Mko allergic to green spaces.
tuoneshe mambo ya upperhill😀😀😀😀avic hata isiwashtue...upperhill pale ndio kuna mambo
Bana, ndoto za mchana hizo.westie ati inafananishwa na ilala bana...bangi mbaya
ilala 2 to 3 yrs back😀😀😀😀😀westie ati inafananishwa na ilala bana...
Waaaa nilikua nadhani ni 15 years ago, kumbe jana tu.
heheh na hakuna sehemu inajengwa magorofa kwa speed kama ilala ndugu acha kabisa yani ni kariakoo part 2Waaaa nilikua nadhani ni 15 years ago, kumbe jana tu.
Hahaha ghorofa za 5-10 floors with ugly designsheheh na hakuna sehemu inajengwa magorofa kwa speed kama ilala ndugu acha kabisa yani ni kariakoo part 2
ilala ina gorofa 20 kushuka chini zipo 10 kibao 😀😀 au nikuoneshe 20fl 😛😛😛Hahaha ghorofa za 5-10 floors with ugly designs
Hio ndo unacompare na Westy. Hahaha you are a clown.ilala ina gorofa 20 kushuka chini zipo 10 kibao 😀😀 au nikuoneshe 20fl 😛😛😛



tunaangalia density of the area yani west haiwezi density ya ilala pekee na kila siku magorofa yanapanda 😀😀Hio ndo unacompare na Westy. Hahaha you are a clown.![]()