ojey
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 1,148
- 816
Kwani density ndo maendeleo. SMHtunaangalia density of the area yani west haiwezi density ya ilala pekee na kila siku magorofa yanapanda 😀😀
Kwani density ndo maendeleo. SMHtunaangalia density of the area yani west haiwezi density ya ilala pekee na kila siku magorofa yanapanda 😀😀
Rudi shule upate elimu.we unafkiri vp??😀😀😀
maana ww ndio mwenye elimu sasa tueleze vzr unafkiri vp????😀😀😀Rudi shule upate elimu.
Mimi sihitaji elimu kujua population density sio maendeleo wewe ndo unahitaji hio elimu.maana ww ndio mwenye elimu sasa tueleze vzr unafkiri vp????😀😀😀
am not talking of population density my friend am talking of land density😀😀😀😀Mimi sihitaji elimu kujua population density sio maendeleo wewe ndo unahitaji hio elimu.
Hahahaha land density tena, enyewe masomo muhimu.am not talking of population density my friend am talking of land density😀😀😀😀
masomo muhimu sana tena 😀😀😀 mm naongelea majengo unageuka na population😛😛Hahahaha land density tena, enyewe masomo muhimu.
Sasa umetoka kwa land umerukia majengo hahahahahamasomo muhimu sana tena 😀😀😀 mm naongelea majengo unageuka na population😛😛
vovote tu ni uelewa wako japokua najua unatapatapa na mfamaji haishi kutapatapa ilala imekusumbua kichwa sasa hujui cha kufanya kama mlijua hii ni ile dar ya 90s basi mumechelewa sana😀😀😀😀Sasa umetoka kwa land umerukia majengo hahahahaha
kwanza karibu sana mgeni😀😀😀😀 nafurah nikiona munafungua acc mpya kila leoAvic complex alone beats the two tower Dar is slum lol!
Inisumbue kivipi na picha za 3 years ago hakuna kitu hapo jaribu kutulia. Westy sio CBD ya kulinganisha na hio usingizi upcoming ya Ilala bado mko ndogo.vovote tu ni uelewa wako japokua najua unatapatapa na mfamaji haishi kutapatapa ilala imekusumbua kichwa sasa hujui cha kufanya kama mlijua hii ni ile dar ya 90s basi mumechelewa sana😀😀😀😀
ohh kumbe westy ni CBD ryt???😀😀😀😀Inisumbue kivipi na picha za 3 years ago hakuna kitu hapo jaribu kutulia. Westy sio CBD ya kulinganisha na hio usingizi upcoming ya Ilala bado mko ndogo.