Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mlitwambia wamebadili zote zitakuwa over 40 floors. Chakushangaza wamefanya party yaku top up hizo towers. Kuna dalili zawao kuishia hapo. Usituonyeshe renders

dalili pengine za mvua tu...hili ni jengo litakalobadilisha landspcape ya Nairobi milele..
176m sasa fananisha na jengo lenu mbilikimo la 150m
 
Mlitwambia wamebadili zote zitakuwa over 40 floors. Chakushangaza wamefanya party yaku top up hizo towers. Kuna dalili zawao kuishia hapo. Usituonyeshe renders

mkuu si umuache tutakuja kumuuliza siku watu wanaondoa crane
 
palm village😀😀😀😀
B654E4BD-79C9-4E77-9C0E-B81E625930A8.jpeg
 
sasa mitanzania wako pale Kariakor sie ndio huwa tunapitia pale avic kupiga picha na kupost skyscrapercity ila wanjifanya wajua mengi sana..sisi ndie huwa tuna chat na ma contractor wachina ila wajinga wanatapa tapa hapa kana kwamba wanaishi westlands😀😀😀😀hilo jengo nawaambia ni zaidi ya 40 floors mpende msipende ...maumivu yanakubaliwa 😀😀😀
 
sisi tunasubiri siku crane imetolewa sasa tuhesabu floors😀😀😀😀😀😀 maana nilihesabu prism nikakuta 29 mkatudanganya mchana kweupe 34😛😛😛😛
 
sasa jengo lipo jijini Nairobi...wewe mkaazi wa kariakor unahesabu jengo kwa picha unadhani umefika...lakini we jamaa kuwanga serious😀😀😀
 
sisi tunasubiri crane itoke tuhesabu floors hilo tu wala hakuna haja ya kulia😀😀😀😀
 
Hii nini sasa, ndo maana inaitwa ilala ju imelala tu, huwezi compare westlands na hii usingizi.
heheh umeona na hio picha ni ya 2 yrs back sasa hvi ni mara mbili ya hio pic😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom