Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

avic residentials ambayo sasa inaitwa Nairobi Global Trade Centre topped out...sasa ni hotel na office towers 176m, 141m..tallest in East Africa ukitoa Britam ambayo ina mlingoti mrefu kana kwamba eiifel tower
39513768510_65f8019d4d_o.jpg

40581591345_f9c8799c25_b.jpg
30709255_906240459545916_8792092122101684958_n.jpg
30726932_906240492879246_4629454365302133341_n.jpg
26606764567_c694cf3433_b.jpg
26603916327_8a53bec344_b.jpg
20180411_222530.jpg
 
avic residentials topped out...sasa ni hotel na office towers 176m, 141m..tallest in East Africa ukitoa Britam ambayo ina mlingoti mrefu kana kwamba eiifel tower
39513768510_65f8019d4d_o.jpg

40581591345_f9c8799c25_b.jpg
30709255_906240459545916_8792092122101684958_n.jpg
30726932_906240492879246_4629454365302133341_n.jpg
26606764567_c694cf3433_b.jpg
26603916327_8a53bec344_b.jpg
20180411_222530.jpg
So hapo Avic zimefika mwisho ?? Mbona mlitwambia wanaongezea floors kwenye zote to 40 floors kwenye zote. Naona talest haijafika 40 floors
 
So hapo Avic zimefika mwisho ?? Mbona mlitwambia wanaongezea floors kwenye zote to 40 floors kwenye zote. Naona talest haijafika 40 floors
residentials ndizo zime top out....hotel na office bado...majengo yapo sita ambazo height ndizo hizi 176m, 141m, 93m, 86m, 83m, 81m
 
Mlitwambia zote zitakuwa over 40 floors leo mnabadili lugha. My take nikuwa wamefika mwisho. How can you have a ceremony for one tower ??
nani alikwambia zote ni over 40 floors? look at this one😀😀😀umeskia wapi building ya kukodisha wapangaji (apartments) imefika 40 floors east africa ? ...maybe pinnacle tu...itakayofika 45 floors ni office tower...picha ndio hii wacha kukurupuka...niambie wewe unaona majengo ngapi ya over 40 floors hapo

hebu tuoneshe hio iliofika 40floors??😀😀
maana munatudanganya na prism ni 34 enyi wakenya Mungu anawaona aisee acheni uongo mchana kweupe prism kama sio 29 basi ni 30
 
nani alikwambia zote ni over 40 floors? look at this one😀😀😀umeskia wapi building ya kukodisha wapangaji (apartments) imefika 40 floors east africa ? ...maybe pinnacle tu...itakayofika 45 floors ni office tower...picha ndio hii wacha kukurupuka...niambie wewe unaona majengo ngapi ya over 40 floors hapo
39513768510_65f8019d4d_o.jpg
Mlitwambia wamebadili zote zitakuwa over 40 floors. Chakushangaza wamefanya party yaku top up hizo towers. Kuna dalili zawao kuishia hapo. Usituonyeshe renders
 
Back
Top Bottom