joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kenya ranked as 'failed state'Bagamoyo port is older than all East African combines projects. So my brother, how many TEUS is white elephant Bagamoyo handling?

Kenya ranked as 'failed state'Bagamoyo port is older than all East African combines projects. So my brother, how many TEUS is white elephant Bagamoyo handling?

😀😀 lolHii picha imenikumbusha movie ya BABYLON 5 au STAR WARS yani inamwonekano usiyovutia!! Picha kama hii mtoto aki iona anaeza pata nightmares View attachment 741427
😀😀exactly, hapo umesema ukweli..JKIA and JNIA are incomparableMkuu, kufananisha JNIA na hiyo JKIA Museum ni kama vile kufananisha uwanja wa Karasani
Na Dar es Salaam stadium, one is a museum and the another one is Modern...
See it yourself.
View attachment 741666View attachment 741667View attachment 741669
hii porojo yako ndio kwanza naisikia leo.swahili si lugha ya tanzania...bali visiwa vya Mombasa,Lamu,Pemba,Unguja,Pate
wacha aendelee kuona kwa macho na kutokwa udenda wakat inatuingizia pesa nyingi sana tanzania 😀😀
Tunabidhaa nyingi tu za kuuza Kenya sema mlizikataa na Kikwete kwa sababu hakua na maneno mengi tukatulia, mfano Unga, Gas, wheat flour, na vingine..But now Magufuli anataka Trade balance ndio maana serikali yenu inamchukia.. Mngekua mnaakili wala msingepata shida ya chakula na bei kua juu, tungewauzia mchele, unga, na chakula vingine vingi tu kwa bei Rahisi Sana sema Serikali ya jubilee iko Ki business halafu haijali watu wake ndio maana .She was complaining alot why we do not have alot of Tz brands in Kenya while in Tz Kenyan Products are everywhere.
magu ndio kiboko yao 😀😀😀😀 hawana hamu nae na mpaka anatoka madarakani watakua washanyooka kama mchele basmat😛Tunabidhaa nyingi tu za kuuza Kenya sema mlizikataa na Kikwete kwa sababu hakua na maneno mengi tukatulia, mfano Unga, Gas, wheat flour, na vingine..But now Magufuli anataka Trade balance ndio maana serikali yenu inamchukia.. Mngekua mnaakili wala msingepata shida ya chakula na bei kua juu, tungewauzia mchele, unga, na chakula vingine vingi tu kwa bei Rahisi Sana sema Serikali ya jubilee iko Ki business halafu haijali watu wake ndio maana .
Magu hacheki na nyangau, Siku akiondoka Kenya watafanya sherehemagu ndio kiboko yao 😀😀😀😀 hawana hamu nae na mpaka anatoka madarakani watakua washanyooka kama mchele basmat😛
na akitoka magu aingie majaliwa sasa hehe uone kama watakunywa maji hawa😀😀😀😀😀Magu hacheki na nyangau, Siku akiondoka Kenya watafanya sherehe
Hatari saaannaaaa
Safi.Tz is planning to showcase their products in Kenya at KICC, atleast to try to balance the trade deficit.
I got invited, we also had coffee with the waziri..
View attachment 743855
ha haaaaTatizo wapo bize wamerundikana Nairobi. Kama pia walikua wanautaka mlima kilimanjaro wangejenga mji hapo mlimani kama sisi tulivoweka Moshi na wilaya zake wao wakajificha Nairobi alafu wanasema mlima wao.