Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

akili zenu ni ndogo sana naona mnawawekea seats na table kabisa ....bila kusahau camera ya kuzoom ......halafu wapekeni kule wakspande basi
Mbona sikuelewi? Andika taratibu bila kuhema hema...jisaidie na kopo la maji
upload_2018-4-13_12-25-7.jpeg
 
mtu mwenyewe umejiunga jf leo halafu bila adabu unaamua kututisha kwa kutuwekea picha ya hao wakora walioiba sembe ndani ya jengo la westgate.
try to be serious please.
wewe mwenye ulijiunga 1963 umelipwa how much till now?
 
wewe ni mjinga wa kiwango cha mount kenya.... hujui hata historia ya jf.

by the way mimi ni jizee la 60s and proud.
Obvious JF haikuwa 20th century,
natry kusema ata kama ulijoin kitambo na yeye leo mko same wote or unalipwa na idadi ya miaka umekuwa hapa?
 
Back
Top Bottom