Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Obvious JF haikuwa 20th century,
natry kusema ata kama ulijoin kitambo na yeye leo mko same wote or unalipwa na idadi ya miaka umekuwa hapa?
hata kama nalipwa au silipwi that is non of your business.
jizee la 60s.
 
Mlima wa shamba la bibi
Amboseli%20Kilimanjaro.jpg

Kwanini usijivunie mt. Kenya.....wait...NO ONE GIVES A SHIT ABOUT MOUNT KENYA.
 
hivi nyie wakenya wakati tz inaboresha maeneo yote ya tz yakihistoria ikiwemo zanzibar na bwagamoyo nyie mlikuwa wapi mpaka leo majengo yale ya mombasa yanafikia hatua ya kuanguka ndiyo mnashtuka .....kiukweli na kiuhalisia mombasa ni mbovu sana kama mnvekua na akili mngeufanya uwe mji wa kihistoria na kihistoria kivipi mngetumia kuwa ni mji ambao wa mwambao upo kwenye hostoria ya kiswahili kama msemavyo
 
Peanut towel now approaching KICC's age but not even raised a first floor
Bagamoyo port is older than all East African combines projects. So my brother, how many TEUS is white elephant Bagamoyo handling?
 
hivi nyie wakenya wakati tz inaboresha maeneo yote ya tz yakihistoria ikiwemo zanzibar na bwagamoyo nyie mlikuwa wapi mpaka leo majengo yale ya mombasa yanafikia hatua ya kuanguka ndiyo mnashtuka .....kiukweli na kiuhalisia mombasa ni mbovu sana kama mnvekua na akili mngeufanya uwe mji wa kihistoria na kihistoria kivipi mngetumia kuwa ni mji ambao wa mwambao upo kwenye hostoria ya kiswahili kama msemavyo
Tatizo wapo bize wamerundikana Nairobi. Kama pia walikua wanautaka mlima kilimanjaro wangejenga mji hapo mlimani kama sisi tulivoweka Moshi na wilaya zake wao wakajificha Nairobi alafu wanasema mlima wao.
 
then why most of y'all can't even make a sentence out of it without going broken
Watanzania wangapi kwa forums zenu hutype broken swahili...
especially wale wa bara ,wale wa pwani ndio wanaifahamu vizuri hao wengine bure kabisa
Stop talking nonsense am online now take care
Fika Arusha na mwanza ndio utajua hamjui kiswahili
kila mtu anashrub!!!
 
Watanzania wangapi kwa forums zenu hutype broken swahili...
especially wale wa bara ,wale wa pwani ndio wanaifahamu vizuri hao wengine bure kabisa
Fika Arusha na mwanza ndio utajua hamjui kiswahili
kila mtu anashrub!!!

Wewe acha kutofautisha lafudhi na Lugha.. Wale kutokana na lugha yao ya asili wanashindwa kutamka R na L kwenye sentensi husika lakini lugha wanaijua vizuri.. Mfano nyie badala ya kusema Kwenu mnasema "kwenyu" au mnatumia maneno Kama "venye" na kadhalika... Ila bongo kiswahili wanakiongea vizuri tu tatizo ni lafudhi ya lugha za asili kwenye baadhi ya maeneo husika...
 
Back
Top Bottom