Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania wangapi kwa forums zenu hutype broken swahili...
especially wale wa bara ,wale wa pwani ndio wanaifahamu vizuri hao wengine bure kabisa
Fika Arusha na mwanza ndio utajua hamjui kiswahili
kila mtu anashrub!!!
hilo jambo lipo kila sehemu hata mchina aliye town na mchina aliye village kimazungumzo wa aina tofauti yakimaongezi.....na pia kwenye kutype

hata hao wazungu wenyewe unowaabudu kama wame zako nao wapo kibao tu wanaokosea sema ni vile unavyojihisi wajua english angali hauijui ipasavyo .....

kwa hiyo point umefel
 
Hivi unajua kama Dar es salaam ndio mji pekee duniani unaongoza kuzungumza Kiswahili
hasa kwanini dunia nzima inajua kama kiswahili ni lugha ya tanzania..?..sembuse wewe usiye na tafiti zozote......

wazungu waliokuowa wanajua ila wewe leo unawabishia wame zako....utachapwa taraka ujue
 
She was complaining alot why we do not have alot of Tz brands in Kenya while in Tz Kenyan Products are everywhere.
serikali yenu haijiamini kabisa ........mnazuia bidhaa za tz....

namkija kuruhusu pasipo vikwazo na propaganda mmeumia mazaga yote ya tz yatakuja huko na mwisho wa siku viwanda vyenu vitadorora

tatizo mnaogopa ushindani na tz
 
magu ndio kiboko yao 😀😀😀😀 hawana hamu nae na mpaka anatoka madarakani watakua washanyooka kama mchele basmat😛

alaf pili wanaogopa sana bidhaa za tanzania dhidi ya bidhaa zao ndio maana azam walimbania kufungua kiwanda cha unga mombasa
wakenya hawajiamini....
 
Tunabidhaa nyingi tu za kuuza Kenya sema mlizikataa na Kikwete kwa sababu hakua na maneno mengi tukatulia, mfano Unga, Gas, wheat flour, na vingine..But now Magufuli anataka Trade balance ndio maana serikali yenu inamchukia.. Mngekua mnaakili wala msingepata shida ya chakula na bei kua juu, tungewauzia mchele, unga, na chakula vingine vingi tu kwa bei Rahisi Sana sema Serikali ya jubilee iko Ki business halafu haijali watu wake ndio maana .
Kama hauna point nyamazatu.. Nani anachukia Magu??? Magu mwenyewe ndiye alitenga Kenya hadi waleo hajahii kuja..hata uwapisho wa Kenyatta hakuja ilihali Kenyatta alikuja yake.

Mlinyima kenya mahindi wakati kiangazi ilikua mwingii. Tulikazia wheat na Gasi AFTER mmekazia bidhaa za kenya zimekaziwa kuingia Tz.
 
serikali yenu haijiamini kabisa ........mnazuia bidhaa za tz....

namkija kuruhusu pasipo vikwazo na propaganda mmeumia mazaga yote ya tz yatakuja huko na mwisho wa siku viwanda vyenu vitadorora

tatizo mnaogopa ushindani na tz

I have been in industry for long.. The problem with Tz companies are not aggressive outside Tz. Tz has to work on marketing and distribution channels to get into any new market. Kenyan products have been able to penetrate Tz because of the same reason..

We are working on ways of how Tz can access Kenyan market through the strong distribution channels.
 
sawa mpo kitambo kwenye industry maana naona mshajihisi kama ninyi ndiyo magwiji wa viwanda kwa africa na dunia

swali laja kama ifuatavyo kulingana na ukomavu wenu wa sekta ya viwanda kama jinsi ulivyoseme kwa kujikubali ...ni kwanini mlimzuia bakharesa kutengeneza kiwanda mombasa na vilevile kwanini mkawa mnazuia bidhaa za tanzania kuja kenya angali zenu tulikuwa tunazipa nafasi. ?

JIBU KIKUBWA USIROPOKE NA USILETE SIASA ZA NCHI
 
Kama hauna point nyamazatu.. Nani anachukia Magu??? Magu mwenyewe ndiye alitenga Kenya hadi waleo hajahii kuja..hata uwapisho wa Kenyatta hakuja ilihali Kenyatta alikuja yake.

Mlinyima kenya mahindi wakati kiangazi ilikua mwingii. Tulikazia wheat na Gasi AFTER mmekazia bidhaa za kenya zimekaziwa kuingia Tz.
Kaa chunguza na ujue chanzo ni nchi gani...

acha siasa
 
E5B9403C-7606-4C62-BCC4-56AD2E0571DF.jpeg
 
mko n a ngapi nyinyi😀😀😀😀😀
sisi hatujashiriki lakin chakuskitisha kila mwaka munakufa miguu juu sio kwenye uchumi na sio kwenye maendeleo wala sio kwenye michezo hakuna sector muna nafuu😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom