wakikuonyesha nitag.where is the constructions??😀😀😀😛
haki nyinyi watu mpo so disorganized.tupo hapa tunasubiri hatutokimbia hata hio 2020 mimi nitakua hapa hapa Mola akinifikisha

Kenyans let's stop commenting on this forum.
Sasa hapo walete Yale magofu ya Mombasa tupambanishe
kwa hivyo ulitaka sote tuwe na fikra moja?...ama umeskia sisi wakenya wa JF tunishi sote nyumba moja😀😀😀😀 Nairobi ina estates zilizoachana achana bro...sio nyote mmekwamiana hapo CBD kama viberiti huku mna mitungi ya maji kichwani kana kwamba sijui mnaelekea kuchota maji PSPA Towershaki nyinyi watu mpo so disorganized.
na ndio maana huko kwenyu kila jambo mnali-judge kwa mitazamo ya kikabila badala ya utaifa.
wakati unasema mtakuwa hapa mpaka 2020,huyu kilaza hapa chini anawashauri mkimbie thread.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu, kufananisha JNIA na hiyo JKIA Museum ni kama vile kufananisha uwanja wa Karasanisay what?😀😀😀
![]()
![]()
Kwangu me naona makerere ndio best,Udsm,UoN. ..
mtaenda forum gani kama si jf?... , mna forum yoyote huko kenya inayoaweza kupimana na jf?... nitajie,but please usinitajie ile takataka yenyu inaitwa JamiiForums.com.kwa hivyo ulitaka sote tuwe na fikra moja?...ama umeskia sisi wakenya wa JF tunishi sote nyumba moja😀😀😀😀 Nairobi ina estates zilizoachana achana bro...sio nyote mmekwamiana hapo CBD na mitungi wa maji kichwani kana kwamba mnaenda kuchota maji PSPA Towers![]()
![]()

Matatu inaingiza ela lakin yakishamba tumatatus in nairobi alone is a billion dollar entreprise which have fully functional and active representations i.e matatu owners association chaired by simon kimutai. 1 matatu can give a profit of up to ksh 12,000 in a day that is the net profit and there are tens of thousands of matatus in nairobi.do the math. it gives revenue to the county govt and the national govt, not to mention it employs thousands of youth...its a big industry.
bottom line - hate wisely
mbona tupo Quora, Skyscrapercity, Nairaland, City data.com, Reddit, JamiiForums.com, na broadband south africa...hizo zote ni forum tunaingia ili kupata exposure..wanaija tunajua jinsi tunavo deal nao ilhali ni watu vichwa maji kama nyinyi hapa tumtaenda forum gani kama si jf?... , mna forum yoyote huko kenya inayoaweza kupimana na jf?... nitajie,but please usinitajie ile takataka yenyu inaitwa JamiiForums.com.![]()
wakenya jf hamwezi kuikimbia...mnaenda nairaland but matusi ya wanaija yakiwazidi mnarudi jf kuja ku socialize na sisi jirani zenu watz.![]()
![]()
na hawa wako uptown sio downtown😀😀😀kwa hivyo ulitaka sote tuwe na fikra moja?...ama umeskia sisi wakenya wa JF tunishi sote nyumba moja😀😀😀😀 Nairobi ina estates zilizoachana achana bro...sio nyote mmekwamiana hapo CBD kama viberiti huku mna mitungi ya maji kichwani kana kwamba sijui mnaelekea kuchota maji PSPA Towers
ichoboy yupo pale kariakor anateka maji ili arudi kwenye duka la mhindi, tuusan naye yupo hapo pia anapiga mswaki huku amevaa towel, mwingine yupo hapo CBD anauza samaki, nawe upo hapo unapiga story na mabeshte wako wa Manzense![]()
![]()
![]()
anatufunga mchana kweupe eti 15 passenger matatu iingize 12000 ksh yani pesa inayoingisa coster dar na inabeba watu zaidi ya 35😀😀😀😀😀Matatu inaingiza ela lakin yakishamba tu
Jamaa na hizi white elephant project zako unanifurahisha sana sema keep upthis is nairobi 2020...nyote mnakaribishwa kama wakimbizi...njooni mapply citizenship middle income..$100 Billion GDP
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
usione hapo ni lami ukadhani ni Nairobi main CBD
How many days will the garimoshy travel from Kenya to Uganda, probably a week ama namna gani2020 kuna nini?😀😀😀😀😀yaani mko funny sana...sisi 2020 ndio tunamaliza jengo ndefu barani ...tunafikisha sgr kampala...tuna montave, avic wote wanamalizia 2020...isitoshe, uchumi utakuwa umefika 100 Billion mwaka wa 2020...sasa nyie mna nini? ndege au?😀😀😀😀
Jamaa na hizi white elephant project zako unanifurahisha sana sema keep up