Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mlikua na sgr before Kenya? Mliezpand hiyo garageyenu before kenya iexpand JKIA? Mlikuwa na oil pipeline before kenya ianze kujenga yao? Nakuambia nyinyi ni macopycats tu
Ndiyo TAZARA
 
hehehe mlikua na gas pipeline before tanzania kwa taarifa yako tanzania inayo oil pipeline kwenda zambia iliojengwa 70s wewe unaongea nn???😱😱😱
nyie ndio munajenga leo hahah😀
Hivyo vikenya vinamatatizo awajui lolote kuusu tz Mfano kuna tofauti gani kati ya reli ya Kenya sgr na TAZARA ya Tanzania tena yetu inaelekea mpaka Zambia yakwao ni sgr from nowere to the nowere
 
kwani uongo bro? 😀😀😀😀nyie hata the most learned people speak poor broken english...kuna judge flani aliandika vituko kwenye barua sijui hio barua iko wapi...imagine yule ni jaji...duh! kwa hiyo mwimbe tu lugha mnayoijua msije mkajiaibisha😀😀😀
Mnataka na sisi tuwe kama vikenya vinadhani vinasikiwa na mungu Kwa kuwa vinatumia kingereza
Vikenya vyenzako vinadhani
KINGEREZA NDIYO LUGHA YA MUNGU NA MZUNGU NDIYO MALAIKA WA MUNGU mnasejudia kizungu na kumuabudu mzungu shenzii taipuu
 
Kwa hiyo Kenya kunasare za CBD na za porini Dunia ina mambo kweli
Zama zile yesu alipokuwa anazaliwa walikosa nyumba maria akaenda kujifungulia kwenye zizi la kondoo lakini asinge thubutu kujifungulia kibera maana hata yesu mwenyewe anashangaa binadamu wa jinsi gani kuweza kuishi kibera
 
pole sana mimi bado kijana fresh...huwezi ukaniona nakimbilia youtub mara twitter ku piga search" tanzania" ilhali mie mkenya
emoji23.png
emoji23.png
...wazee wenu akili hawana kabisa...mtu anafaa awe sasa hivi anapiga hesabu jinsi atavowaachia watoto uridhi anapambana na wakenya YouTube
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Aaaa acha mzaa kijana wa miaka 28 anae ishi kibera anakuwa ni sawa na mzee wa miaka 65
 
WaTanzania wacheni kujidanganya au kwa kuwa ni WaDanganyika mnapende kujidanganya. Yaani ukifananisha Nairobi na Dsm ni sawa unataka kufananisha Punda(Dsm) na Farasi (Nairobi) Yaani ni tofauti kabisa kabisa Dar hakuna kitu ubishooo tu halafu mafala hela hawana utapeli mtupu na kisomo ndio bure mijinga hayakusoma kabsaa si tunaona hata ile mutu yao . Iko tupu inaogopa hata kusafiri inang'ang'ana hapo hapo hata mugeni akija haiendi kwa airport. Dsm ni shida hakuna kitu tajiri yao kubwa ni ile MO au Bakresa ndio nasaidia saidi wao
Haya kula githeri ukalale
 
Najua ichio hapendi renders but this is too sweet. Kilimani area. Cytonn Towers, 3 of them 150metres, loading...... Sijui kama it has been posted here. Na hapa si westlands, upper hill ama cbd, ni kilimani. Leteni feels sasa
kili2.jpg
kili3.jpg
kili1.jpg
kili4.jpg
 
huo ni ujenzi wa jengo gani 😀😀😀
is that pinnacle or montave or nairobi88😛😛😛
kumbe CBK pension 27fl matus mengi nikajua umetuletea zile renders nilizotaja hapo juu 😀😀
ni sawa na hii tu nyie munaanza sisi tunaelekea kumaliza
View attachment 742018
Ata ukilialia Pinnacle, Montave na 88 zitarise tu. So toka stage ya denial na ufike acceptace as fast as possible
 
huo ni ujenzi wa jengo gani 😀😀😀
is that pinnacle or montave or nairobi88😛😛😛
kumbe CBK pension 27fl matus mengi nikajua umetuletea zile renders nilizotaja hapo juu 😀😀
ni sawa na hii tu nyie munaanza sisi tunaelekea kumaliza
View attachment 742018
Ata ukilialia Pinnacle, Montave na 88 zitarise tu. So toka stage ya denial na ufike acceptace as fast as possible
 
Back
Top Bottom