Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huu uzi 2020 ni karibu sana tutahakikisha mpaka hawa wehu wakikenya wajue kama sisi siyo level yao.....hapo tutawaacha kwenye mataa na wakibaki kuendelea kwa kupost picha zao za thika roadhuu uzi 2020 ni karibu sana tutahakikisha mpaka hawa wehu wakikenya wajue kama sisi siyo level yao.....hapo tutawaacha kwenye mataa na wakibaki kuendelea kwa kupost picha zao za thika roadhuu uzi 2020 ni karibu sana tutahakikisha mpaka hawa wehu wakikenya wajue kama sisi siyo level yao.....hapo tutawaacha kwenye mataa na wakibaki kuendelea kwa kupost picha zao za thika road
2020 kuna nini?😀😀😀😀😀yaani mko funny sana...sisi 2020 ndio tunamaliza jengo ndefu barani ...tunafikisha sgr kampala...tuna montave, avic wote wanamalizia 2020...isitoshe, uchumi utakuwa umefika 100 Billion mwaka wa 2020...sasa nyie mna nini? ndege au?😀😀😀😀
 
Hizi ndio ndoto tunazotaka tuzione humu...no need ya mtu kuleta umama kwenye mambo yamsingi...
2020 iyo pinnacle bado mtakua mnachimba msingi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
where is montave and pinnacle???😀😀😀😀
gari moshi itafika uganda kweli????
 
Hizi ndio ndoto tunazotaka tuzione humu...no need ya mtu kuleta umama kwenye mambo yamsingi...
2020 iyo pinnacle bado mtakua mnachimba msingi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
sawa si tutaona kwani 2020 ni mbali
emoji23.png
emoji23.png
mambo ya kuimba imba ati 2020 mtatupiku kumbe mnakimbiza upepo tu...100 Billion dollars economy by 2020...pinnacle and montave...tazama taswira...maumivu yanakubaliwa
emoji23.png
emoji23.png

upperhill (1).jpg
 
ndege za bombadier zilizopo canada ndio wanatuambia zitafika 2020
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
watu wanafikiria vile watakavo fululiza ndege mpaka New York bila kusimama wengine wanawaza jinsi ndege 6 zitakapofika
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
hapana siwezi umia... wewe jisikie huru tu kuendelea na tabia yako ya kisenge-nyaji.

usenge-nyaji ni hobby yako.
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
haya mbona wakurupuka bas? mi nadhani mtu akisengenywa huwa hajali...ila wewe unafatilia sana comments
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
lakini usjali bro hakuna aliyekutaja sasa sijui mbona walia lia
emoji23.png
emoji23.png
 
Back
Top Bottom