Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How many days will the garimoshy travel from Kenya to Uganda, probably a week ama namna gani
less than 24 hrs pole sana
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kisha garimoshi za Uganda zitakuwa za umeme...nasi pia godwilling tutakua tumeelectrify
https://www.businessdailyafrica.com...lectrify-SGR/539546-4293228-avals4/index.html
https://www.railjournal.com/index.php/africa/kenya-sgr-electrification-contract-signed.html
 
usione hapo ni lami ukadhani ni Nairobi main CBD
emoji23.png
emoji23.png
....Nairobi kuna uptown (Upperhill, Westlands, na CBD ilio karibu na Times Towers na KICC....kisha kuna area ya ma hustler aka kina Ngara, Bus Station, Machakos country bus, Marikiti na Gikomba ambapo zipo pia karibu na CBD...sasa nataka unioneshe hawkers walio katika maeneo hayo nmetaja tafadhali...ukipata unitag
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
umeshayajua hayo majengo ryt😀😀😀
sasa hio ni downtown au uptown
95C81126-6333-4E3D-BB1A-23B72B251185.jpeg
 
umeshayajua hayo majengo ryt😀😀😀
sasa hio ni downtown au uptown
View attachment 741679
yaani nikama tu nazungumza na mbuzi
emoji23.png
emoji23.png
...maeneo hayo yapo karibu na CBD tu ila kuna kama border vile...ukivuka pande hio ya KICC unajipata uko New York ukirudi maeneo haya ya masoko unajipata na mahustler...sasa leta hawkers westlands na upperhill pia plizz sababu nimekutajia huko pia...ukipata nitag😀😀
 
Namuona Jay456watt na kofia lake pembeni jobless anapita anatamani anunue mboga ni vile hana hela
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ningekuwa nakosa hela za mboga ningekuwa na log in JF nikitumia laptop yangu ya alfu mia moja? nazungumzia hela za kenya by the way...unajua hizo hela zeenu utakuwa trillionair kumbe unaishi Manzense
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
unajua tupo middle income bro...hapa habana macheso...
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ningekuwa nakosa hela za mboga ningekuwa na log in JF nikitumia laptop yangu ya alfu mia moja?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
unajua tupo middle income bro...hapa habana macheso...
Wapi wewe unaishi kwa Shemeji yako shemeji yako anakuweka Town
 
yaani nikama tu nazungumza na mbuzi
emoji23.png
emoji23.png
...maeneo hayo yapo karibu na CBD tu ila kuna kama border vile...ukivuka pande hio ya KICC unajipata uko New York ukirudi maeneo haya ya masoko unajipata na mahustler...sasa leta hawkers westlands na upperhill pia plizz sababu nimekutajia huko pia...ukipata nitag😀😀
hujanijibu sasa ni uptown au down town😀😀😀
 
ucjali sie middle income
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
not LDC...middl income huwa wanapewa loan kama peremende
emoji23.png
emoji23.png
middle income with full of loans munakopa loan kulipa loan😀😀😀😀 nilifkiri mutafkiria kutoa cash kumbe bado deni juu ya deni huku waziri wenu akisiktiza gharama kua kubwa na pia hakuna umeme wa kutosha yani kenya nahisi kama munalazmisha mambo

ikiwa hio ya diesel cost iko juu wafanya mbiashara hawataki kupakia mizigo yao hio electric itakuaje??
 
160 km/hr gari moshi inakimbia sasa piga hesabu usiwe kana kwamba sijui hujawahi kuingia nursery...nakupatia formula Distance=speed X time
where is 160km per hr😀😀😀😀 talk of 80km per hr na usifkiri itakimbia 80 haiwezi lazma iende less than 80 ya mizigo😛😛😛
 
middle income with full of loans munakopa loan kulipa loan😀😀😀😀 nilifkiri mutafkiria kutoa cash kumbe bado deni juu ya deni huku waziri wenu akisiktiza gharama kua kubwa na pia hakuna umeme wa kutosha yani kenya nahisi kama munalazmisha mambo

ikiwa hio ya diesel cost iko juu wafanya mbiashara hawataki kupakia mizigo yao hio electric itakuaje??
ujali bro electric pia tumeipangia...mukilaunch nasi tuna launch
emoji23.png
emoji23.png
makei yenu yamo mikononi mwetu tumekamata
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
ujali bro electric pia tumeipangia...mukilaunch nasi tuna launch
emoji23.png
emoji23.png
makei yenu yamo mikononi mwetu tumekamata
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
muna launch when?? yani mumenifurahisha sana
electric kwa miaka 5 sahau kabisa yani msiwaze kabisa
 
2020 kuna nini?😀😀😀😀😀yaani mko funny sana...sisi 2020 ndio tunamaliza jengo ndefu barani ...tunafikisha sgr kampala...tuna montave, avic wote wanamalizia 2020...isitoshe, uchumi utakuwa umefika 100 Billion mwaka wa 2020...sasa nyie mna nini? ndege au?😀😀😀😀
maisha yanabadilika kutokana na akili yako ilivyo.....sina shaka ila niseme hivi hii kauli mnayoipenda kuitamka kuhusu TZ ya "tuta"..ina mwisho wake ......

mkae mtambe mfanye lolote Tz lazima itakuja fanya mapinduzi ya kiuchumi tena makubwa...niishie hapo mimi ni mtu wakungojea result tu ipo siku mtakaa kimya....coz kenya haina cha maana ila ni propaganda tu zimetawala
 
where is 160km per hr😀😀😀😀 talk of 80km per hr na usifkiri itakimbia 80 haiwezi lazma iende less than 80 ya mizigo😛😛😛
gari moshi hizi zinawapa kiwewe sana...yes ni nzee ila mwendo ni huo huo tu wa 160km/hr...wazungu huwa wanasma better half a loaf than no bread...wanaozungumza hata rei hawana...ndio wanapambana na vumbi msituni kule
TX0APUt6.jpg
SGR-Kenya-20.jpg
 
Back
Top Bottom