Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

gari moshi hizi zinawapa kiwewe sana...yes ni nzee ila mwendo ni huo huo tu wa 160km/hr...wazungu huwa wanasma better half a loaf than no bread...wanaozungumza hata rei hawana...ndio wanapambana na vumbi msituni kule
TX0APUt6.jpg
SGR-Kenya-20.jpg
wow napenda kuiona gari moshi na nimefurah kusikia economy class nauli zimepanda from 700 to 1200ksh
😀😀😀 gari moshi haikimbii zaidi ya 110km per hr
 
maisha yanabadilika kutokana na akili yako ilivyo.....sina shaka ila niseme hivi hii kauli mnayoipenda kuitamka kuhusu TZ ya "tuta"..ina mwisho wake ......

mkae mtambe mfanye lolote Tz lazima itakuja fanya mapinduzi ya kiuchumi tena makubwa...niishie hapo mimi ni mtu wakungojea result tu ipo siku mtakaa kimya....coz kenya haina cha maana ila ni propaganda tu zimetawala
ukwli ndio huo wala sijadanganya...2020 uchumi unakuwa 100 billion GDP...jengo ndefu barani tuna lcunch...reli tunapanda kwenda kampala
 
wow napenda kuiona gari moshi na nimefurah kusikia economy class nauli zimepanda from 700 to 1200ksh
😀😀😀 gari moshi haikimbii zaidi ya 110km per hr
sasa 1200 tu ndio inakupa kiwewe? wakenya wanapanda tu na hio nauli...nimewaambia hapa middle income..not LDC
 
sasa 1200 tu ndio inakupa kiwewe? wakenya wanapanda tu na hio nauli...nimewaambia hapa middle income..not LDC
hahahah from 700 to 1200 yani 500ksh more ni kawaida sana kwako au mchina anantaka loan yake irudi 😀😀

mizigo wafanya biashara hawatani train wanakomaa na lorries😛😛😛😛
 
... Godwill ama sio..keep dreaming.
wacha wapate hopes maana wamechanganyikiwa na kasi ya magu 😀😀😀😀 yani magu amewakamata makei yao sasa hawajui waanzie wapi sasa wamejikuta kutumia train zilizotumika 100yrs ago in china
 
wacha wapate hopes maana wamechanganyikiwa na kasi ya magu 😀😀😀😀 yani magu amewakamata makei yao sasa hawajui waanzie wapi sasa wamejikuta kutumia train zilizotumika 100yrs ago in china
Mara nyingi hua naangalia hata tulivo wapiga chin uwanja wa taifa tu Dar af bado uncle Magu anasimika kitu pale Idodomya. Itoshe kusema isingekua vita ya Uganda 78 hawa nyang'au sijui...
 
mbona tupo Quora, Skyscrapercity, Nairaland, City data.com, Reddit, JamiiForums.com, na broadband south africa...hizo zote ni forum tunaingia ili kupata exposure..wanaija tunajua jinsi tunavo deal nao ilhali ni watu vichwa maji kama nyinyi hapa tu
emoji23.png
emoji23.png
mbona zote ulizotaja si zenyu... nitajie ya kikenya kama ipo.

mmekuwa kama wanawake makahaba kuzura kwa forums na social media za watu wa mataifa mengine huku mkipeleka ushamba wenyu wa kikenya.
 
ukwli ndio huo wala sijadanganya...2020 uchumi unakuwa 100 billion GDP...jengo ndefu barani tuna lcunch...reli tunapanda kwenda kampala
sijakuambia kama wewe ni muongo ila kaa na ytafakari kwa kuisoma comment yangu upya kwani hiyo imemaliza kila kitu.....

sijui mtaongea nini.....jay maisha yanabadilika kama tuliwaongoza kwa uchumi na tukadrop why kenya iwe stable angali taarifa za kiuchumi kila siku zinabadilika kuhusu hizi nchi mfano mzuri mlituacha sana kwanini sasa tunakabana
 
Back
Top Bottom