thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,557
Ile museaum ya Nai wamarekani wame ikagua zaidi ya mara 4!! Vigezo vilikua hafifu, sasa hivi wana tia maji tia maji.. ili wafikie vigezobro nimesoma maelezo ya security systems na communications system sio mchezo kaka na haina mfano wake ukanda huu itakua na lift zaidi ya 15