Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

endeleeni kushoot video kwa counties... sisi na umasikini wetu tutaendelea ku shoot videos USA, south africa na europe sababu pesa ya kufanya hivo tunayo.

tunafanya hivo ili kucheza na diversities katika kiwanda cha mziki.

na ndio maana kwa east africa, music videos zinazoongoza kuchezwa na international tv channel, ni zile za kutoka bongo.

tazama channel kama mtv base, box africa na trace tv.
kwanza hata si ati tz ina muziki nzuri...tuseme tu ni bora kuliko ya Kenya ila ni mbovu tu pia...same to nigerian music...huwa siskizi upumbavu wa bongo/nigerian music mie....
 
hilo sasa povu.
ukweli ndio huo senior...africa bado sana...maybe south africa akina AKA, Casper, Anatii na Nasty C..Davido sio mbaya ila bado anaimba ujinga tu sometimes...Wizkid anajaribu..Diamond na Kiba wanajaribu pia ila hawana variety...ningependa kuwaskia wakibadilisha wakaimba rap ama hip hop, waje waimbe pop kisha waimbe afro beats..ama waimbe kwa kiingereza.mambo ya sijui chibudi chibude mara mbagara mbagara wanaimbia nani😀😀😀😀..Patoranking ako poa...middle class Nairobi huwa wanapenda nyimbo za kiingereza, mimi mmoja wao..
 
sio mtu anaimba lugha moja miaka nenda miaka rudi style moja miaka nenda miaka rudi mpaka wanaboo😀😀😀
 
ukweli ndio huo senior...africa bado sana...maybe south africa akina AKA, Casper, Anatii na Nasty C..Davido sio mbaya ila bado anaimba ujinga tu sometimes...Wizkid anajaribu..Diamond na Kiba wanajaribu pia ila hawana variety...ningependa kuwaskia wakibadilisha wakaimba rap ama hip hop, waje waimbe pop kisha waimbe afro beats..ama waimbe kwa kiingereza.mambo ya sijui chibudi chibude mara mbagara mbagara wanaimbia nani😀😀😀😀..Patoranking ako poa...middle class Nairobi huwa wanapenda nyimbo za kiingereza, mimi mmoja wao..
Ninyi mnaotumia kiingereza mziki wenu umefika wapi?, hayo mawazo yako yangukiwa ya maana ungewaambia wakenya ili angau mziki wao ukafikia level ya Tanzania, kujua kwingi wakati mziki wenu unazidi kupotea.
 
JNIA hata arrivals millioni mbili haifiki sasa ndio ya kazi gani😀😀😀
Hahahahahaha, next year JNIA capacity will be 9M per year while JKIA is 7M, mtajibeba this time, the same year Dar- Moro bullet train, ths only in Africa will kick off. Stay calm but tuned.
 
1. DAR - ARUSHA *646* KM
2. DAR - KAHAMA *1012* KM
3. DAR - BABATI via moro *876* KM
4. DAR - BARIADI *1127* KM
5. DAR - BUKOBA via kahama *1433* KM
6. DAR - DODOMA *450* KM
7. DAR - GEITA *1226* KM
8. DAR - IRINGA *501* KM
9. DAR - KIBAHA *35* KM
10. DAR - KIGOMA via itigi *1258* KM
11. DAR - KIGOMA via kahama *1476* KM
12. DAR - LINDI *452* KM
13. DAR - MBEYA *822* KM
14. DAR - MOROGORO *194* KM
15. DAR - USANGI *575*KM
15. DAR - MOSHI *530* KM
16. DAR - MPANDA via itigi *1383* KM
17. DAR - MTWARA *556* KM
18. DAR - MUSOMA *1370* KM
19. DAR - MWANZA *1200* KM
20. DAR - NJOMBE *710* KM
21. DAR - SHINYANGA *989* KM
22. DAR - SINGINDA *725* KM
23. DAR - SONGEA via moro *949* KM
24. DAR - SONGEA via lindi *1054* KM
25. DAR - SUMBAWANGA *1166* KM
26. DAR - TABORA *829* KM
27. DAR - TANGA *350* KM
28. DAR - TUNDUMA *937* KM
29. ARUSHA - DODOMA via kondoa *425* KM
30. ARUSHA -KIGOMA *1054*KM
31. DAR - KIBITI *128* KM
32. ARUSHA - MWANZA *787* KM
32. MORO - TANGA *329* KM
33. NGARA - DAR via kahama *1310* KM
Etc
 
5F517B46-B7A3-4054-B923-6A6005A09416.jpeg
 
Back
Top Bottom