Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Those tz musicians are not patriots video wanashoot ulaya afrika kusini na marekani ju nchi kwao ni maskini na underdeveloped
upload_2018-4-6_15-31-34.jpeg
 
watshoot video tz gani?? hii moja tu??😀😀😀😀lazima waende marekani ama afrika kusini...wanatoroka umaskini na ubaradhuli wa bongo
endeleeni kushoot video kwa counties... sisi na umasikini wetu tutaendelea ku shoot videos USA, south africa na europe sababu pesa ya kufanya hivo tunayo.

tunafanya hivo ili kucheza na diversities katika kiwanda cha mziki.

na ndio maana kwa east africa, music videos zinazoongoza kuchezwa na international tv channel, ni zile za kutoka bongo.

tazama channel kama mtv base, box africa na trace tv.
 
Wameshindwa kupambana katika music industry wanaanza kutafuta sababu za kushindwa, tumewapiga bao katika biggest and modern airport kabla haijazinduliwa tayari wameanza kutafuta sababu za kuhalalisha kushindwa, stupid kunyans.
 
endeleeni kushoot video kwa counties... sisi na umasikini wetu tutaendelea ku shoot videos USA, south africa na europe sababu pesa ya kufanya hivo tunayo.

tunafanya hivo ili kucheza na diversities katika kiwanda cha mziki.

na ndio maana kwa east africa, music videos zinazoongoza kuchezwa na international tv channel, ni zile za kutoka bongo.

tazama channel kama mtv base, box africa na trace tv.

apart from diamond hakuna muziki tz......ujinga wa kawaida tu.
 
Kwa Trace mziki east africa...kenyan songs top ten ni 5,uganda 2,tanzania 2,rwanda 1.....
sauti sol ngoma mbili ziko top ten...alafu mtu anasema sauti wamekufa
 
Infact no. one since a fortnight ago ni bebi bebi ya Nyashinski ikifatwa na africa beauty ya Diamond
 
endeleeni kushoot video kwa counties... sisi na umasikini wetu tutaendelea ku shoot videos USA, south africa na europe sababu pesa ya kufanya hivo tunayo.

tunafanya hivo ili kucheza na diversities katika kiwanda cha mziki.

na ndio maana kwa east africa, music videos zinazoongoza kuchezwa na international tv channel, ni zile za kutoka bongo.

tazama channel kama mtv base, box africa na trace tv.
shida mnaimba style moja wote...tena kiswahili.
sikuizi ata top 10 kwa Mzuqa TZ ni diamond namuona pekee si kama last year
 
wanakimbilia ten over ten kujimarket Kenya huku wakitutusi.....lol. mwengine anajiita Lulu diva ana mapaja shapeless na ugly na hajui hata kuimba ati alikuja ten over ten kujimarket. ......kuimba pia hajui
....apart from kiba and diamond hakuna mziki tz
 
alikiba??? aslay??? harmonize???rayvanny???fidq??? etc
Diamond ndio ameshikilia industry yenu,tena songs zote zake hit za 2018 ni collabos.
Naona next year mtazikwa kwa kaburi la sahau....taste ya bongo inaisha
 
wewe huijui tz vzr tanzania ushindani mkubwa sana wakimziki na huyo diamond anaushindani mkali sana na wasanii wengine so usifkiri analala usingizi huyo😀😀😀😀😀
 
wanakimbilia ten over ten kujimarket Kenya huku wakitutusi.....lol. mwengine anajiita Lulu diva ana mapaja shapeless na ugly na hajui hata kuimba ati alikuja ten over ten kujimarket. ......kuimba pia hajui
....apart from kiba and diamond hakuna mziki tz
Yeah,
naona mziki wa kenya,Uganda na Rwanda zinatop ,
last year ilikuwa tz kama zote but the road is shifting polepole
 
Nakwambia hv Dubai airport ni nzuri kuliko jfkeneddy inter airport ya New York. ..
Jnia t3 ni better imetumia tecnology mpya na design yake bomba sana. ..izo Nyumba za nbo zilifaa miaka ya 1978 kabla sijazaliwa

Ebu tuambiane ukweli bila ushabiki. Unataka kusema hili jengo liwarehouse ni modern?

uploadfromtaptalk1473454764710.jpeg
uploadfromtaptalk1473454689443.jpeg
uploadfromtaptalk1473454736681.jpeg

Wakati unasema hili ni la 1978? Una kichaa wewe.

images (13).jpeg
images (12).jpeg
images (10).jpeg
 
wewe huijui tz vzr tanzania ushindani mkubwa sana wakimziki na huyo diamond anaushindani mkali sana na wasanii wengine so usifkiri analala usingizi huyo😀😀😀😀😀
Taste ya bongo inapungua kwa kasi sana...
shida mnaimba style moja,watu wanaanza kuboeka
 
lol ati ushindani last time hata mtv mama awards hakuna mtanzania alikuwa shortlisted apart from diamond na akakuwa number 4.......huhuhu.Next time najua atakuja Nairobi na mombasa kuomba kura. ...lol
 
  • Thanks
Reactions: nao
Taste ya bongo inapungua kwa kasi sana...
shida mnaimba style moja,watu wanaanza kuboeka

Tanzanian music ni hoi tu.....hakuna lolote.Mi I don't care coz I listen to soft /hard rock,rhumba and Kenyan music.
zingine ni kelele tu......

Africa mziki uko Congo ,Nigeria na party south Africa home of kwaito.....wengine tunatapatapa tu
 
Kama ambavyo slums ziko Kenya, South Africa and Nigeria
 
Back
Top Bottom