Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndoto bro😀😀😀mmetuambia subiri miaka nenda miaka rudi tumechoka...nataka kuwaona hao passenger kwa macho bro😀😀😀not excuses
kama ndoto tusubiri mm nakwambia just 10yrs of development munalia kama watoto wadogo je ingekua 20yrs????😀😀😀😀 na ukunbuke magu anamiak 6 bado ya utawala mpaka mutie akili
 
kama ndoto tusubiri mm nakwambia just 10yrs of development munalia kama watoto wadogo je ingekua 20yrs????😀😀😀😀 na ukunbuke magu anamiak 6 bado ya utawala mpaka mutie akili
😀😀😀😀haya tusubiri bas😀😀😀
 
😀😀😀😀hakuna mambo ya kusubiri...terminal kama hii tayari ipo nchini Nairobi...infact bora kuliko hii...ndio maana tukapewa direct flights na IATA😀😀😀😀sorry bro😀😀😀naona mishipa kichwani😀😀
Acha kujiliwaza, JNIA to be the biggest and ultra modern Airport in East and central Africa next year, only Bole Airport will be superior to JNIA, swala ni ipi itakuwa busiest kati ya JNIA na JKIA hiyo huwezi sema kwasasa.
 
nishakuinesha sana ujenzi ukiendelea kama mayb unatafuta ligi haya😀😀😀😀
leta mwanza tabora kigoma etc 😀😀😀mimi ninavojua mwanzza kuna kibanda cha mabati nyekundu kimeandikwa welcome mwanza airport hapo juu
PW%2Btabora.jpg
 
😀😀😀😀huwa unawadanganya wengine ila mimi nakujua bro😀😀😀ukileta picha za terminal najua jinsi ya kukukamata kwenye makei
hakuna mtu unamkamata serious tanzania inafanya wonders within short period of time jamaa kapokea ndege juzi hapo hapo kaeka jiwe la msingi ya installation of 4 rader in four airports wafaransa wanafanya kazi hio katoka over 30m usd kwa kazi hio funded by gvt
 
ndoto za abunwasi tulishachoka nazo bro😀😀😀😀leta terminal sasa hivi😀😀😀ikwapi? wakwapi 7 million passngers?😀😀😀
Kama ambavyo mlipiga kelele wakati mnazindua SGR, leo hii mnasikia aibu hata kuizungumzia old trains zenu
 
hakuna mtu unamkamata serious tanzania inafanya wonders within short period of time jamaa kapokea ndege juzi hapo hapo kaeka jiwe la msingi ya installation of 4 rader in four airports wafaransa wanafanya kazi hio katoka over 30m usd kwa kazi hio funded by gvt
sasa hizo ndio nini bro?😀😀😀 cha muhimu ni passengers...where are the passengers? where are the direct flights?😀😀😀mambo ya radar sijui unaambia nani hata mogadishu airport ina radar😀😀😀where are the planes? mtu anajigamba na 2 mil wakati wengine wapo wanasafirisha 8 mil..where are the destinations?
 
leta mwanza tabora kigoma etc 😀😀😀mimi ninavojua mwanzza kuna kibanda cha mabati nyekundu kimeandikwa welcome mwanza airport hapo juu
PW%2Btabora.jpg
mwanza iko under construction
unaona hii bukoba airport imejengwa haina muda mrefu jamaa yuko speed anabadilisha sura ya tz
6D084D2C-0A1E-4385-A59C-CFD7C433D7C3.jpeg
CD4ACD89-5A6F-48EE-BEBC-4EC4CE61DA7C.jpeg
 
sasa hizo ndio nini bro?😀😀😀 cha muhimu ni passengers...where are the passengers? where are the direct flights?😀😀😀mambo ya radar sijui unaambia nani hata mogadishu airport ina radar😀😀😀
Kama ambavyo nini mnasifia GDP kubwa, lakini haina kitu inafanya, leo hii unageuza goal post na kusema airport kubwa sio muhimu ila passengers ndiyo muhimu, stupid nyang'au.
 
sasa hizo ndio nini bro?😀😀😀 cha muhimu ni passengers...where are the passengers? where are the direct flights?😀😀😀mambo ya radar sijui unaambia nani hata mogadishu airport ina radar😀😀😀where are the planes? mtu anajigamba na 2 mil wakati wengine wapo wanasafirisha 8 mil
dont be like a kid😀😀😀 hvi unapojenga airport hua unafkiri short period if time, tunaangali mbali wataalanu wanakwambia by 2025 tanzania itapokea watalii 8m passenger hao ni watalii pekee achana na wafanya biashara au diplomatic people etc

hamuna ubavu wakufkisha 8m ndoto ya alinacha nimekwambia mwisho wa JKIA ni 5m kama unayo official link leta hapa kwann unaogopa😛
 
haya umejibu vyema..sasa swali langu ni hili...2025 kenya itakua imesimama au? au umeshatabiri tutakua kwnye recession?😀😀😀wakati mnanusia 8 million passengers 2025 nasi tutakua wapi?😀😀😀 2 mil au?😀😀😀tunarudi backwards nadhan
 
jamaa unapiga chenga sana ninapotaja kigoma tabora na mwanza😀😀😀..unapiga u-turn kana kwamba umeona simba😀😀😀😀
hatuwez jenga airport zote kwa pamoja ni sawa nikuulize nioneshe nakuru airport, nioneshe kisii airport, nioneshe kericho airport, nioneshe lamu airport, nioneshe narok airport unaeza nionesha???😀😀😀😀😀
 
haya umejibu vyema..sasa swali langu ni hili...2025 kenya itakua imesimama au? au umeshatabiri tutakua kwnye recession?😀😀😀wakati mnanusia 8 million 2025 nasi tutakua wapi?😀😀😀
niletee link official kua JKIA ina handle 8m passenger ukileta ww ni mwanaume 😀😀😀😀😀
 
hatuwez jenga airport zote kwa pamoja ni sawa nikuulize nioneshe nakuru airport, nioneshe kisii airport, nioneshe kericho airport, nioneshe lamu airport, nioneshe narok airport unaeza nionesha???😀😀😀😀😀
unapiga chenga sana ila wacha nikuwie radhi tu..nikiendelea kusukuma hivi utaanza kulia machozi hapa😀😀😀dalili nimeshaiona..
 
haya umejibu vyema..sasa swali langu ni hili...2025 kenya itakua imesimama au? au umeshatabiri tutakua kwnye recession?😀😀😀wakati mnanusia 8 million passengers 2025 nasi tutakua wapi?😀😀😀 2 mil au?😀😀😀tunarudi backwards nadhan
Sasa hivi Kenya kila kitu kinarudi nyuma, tourism, manufacturing sector, agriculture, you name it.
 
Back
Top Bottom