ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
endelea kulia tu kama kawa 😀😀😀😀arrivals hazijafika hata mil 2 mtu anajigamba😀😀😀😀😀ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya Firauni...JKIA arrivals ni mil 8 Mombasa airport ni mil 1.5
hakuna siku upo bila kilio wewe
kwaa taarifa nayokupa JNIA kwa sasa ina handle over 3m passengers na imezidiwa kabisa ndio maana giant terminal 3 iko katika hatua za mwisho kumbuka terminal 3 will handle 7.2m passengers keep it in ur mind the modern terminal building in east and central africa ambayo ime cost 560m usd