Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unapiga chenga sana ila wacha nukuwie radhi tu..nikiendelea kusukuma hivi utaanza kulia machozi hapa😀😀😀dalili nimeshaiona..
swali unalouliza ww ndilo hilo nimekuuliza ??
tunajitahidi kujenga airports atleats 2 airports kwa two years ndio maana unaona mambo yamebadilika sana
nijibu zikwapi nioneshe nakuru airport, nioneshe kisii airport, nioneshe kericho airport, nioneshe lamu airport, nioneshe narok airport unaeza nionesha???😀😀😀😀😀
 
wikipedia bro hebu kua serious narudia nileteeee official link kua JKIA inapokea passenger 8m ukiniletea ww ni mwanaume😀😀😀😀😀
😀😀😀😀naona vyuma vimekaza kweli..umeniitisha link nikakupa sasa unalalamika😀😀😀mimi najua kukuhandle bro
 
😀😀😀😀naona vyuma vimekaza kweli..umeniitisha link nikakupa sasa unalalamika😀😀😀mimi najua kukuhandle bro
wikipedia ndio link si hata mm naeza kubadilisha figures hapa😀😀😀😀 huwez bro na this time mutaumia sana huyu magu sijui kama mutatoboa jamaa hatari
 
My brother ichoboy si kila post ya MTU lazima u reply nyingine hazina hadhi yakuwa replied.
nafahamu sana bro huyo anajulikana mbona ni mmoja ya wakenya wenye machungu makali sana 😀😀😀
 
4b usd msa to nairobi mchina aisee wameambulia stations tu vilivobakia ni shombo la samaki😀😀😀
C33FA707-8CC2-4916-BC3E-265DB1BFA2E3.jpeg
 
nafahamu sana bro huyo anajulikana mbona ni mmoja ya wakenya wenye machungu makali sana 😀😀😀
Wenyewe wanamkimbia mwenzao mkikuyu hata hawataki Ku m quote
Just take my advice",kukaa kimya nalo ni jibu "
 
leta mwanza tabora kigoma etc 😀😀😀mimi ninavojua mwanzza kuna kibanda cha mabati nyekundu kimeandikwa welcome mwanza airport hapo juu
PW%2Btabora.jpg
Nyie ile ma ghost Town built with large amount of money from tax payers unasifia Airport nzuri without passengers Unasifia airport .[emoji23] [emoji23] [emoji23] D😀😀 Do you know Value for money kweli wewe??
 
hivi unajua aiport za Kenya zinahandle passengers kiasi gani wewe? kisha nikikuuliza aiport za kilimanjaro na Dar zilizo modrn angalau kidogo zinawasaidia kivipi bas saabbu watalii wenu wote wanabebwa na ndege za ng'ambo😀😀😀
 
ukimwona ana quote kila comment bila shaka jua hana cha kusema huyo😀😀mimi namfaham vizuri
Kisa anawapa makavu live !
Wakenya wote mnafyata mkia ,hadi kina Colo mz na mwaswast pamoja na lugha zao chafu wananyoroshwa
 
hivi unajua aiport za Kenya zinahandle passengers kiasi gani wewe? kisha nikikuuliza aiport za kilimanjaro na Dar zilizo modrn angalau kidogo zinawasaidia kivipi bas saabbu watalii wenu wote wanabebwa na ndege za ng'ambo😀😀😀
Mkikuyu akili timamu katoka kutuambia Maghost Town kama yale ya Inner Mongolia kule China utatuambia nini wewe D😀 😀 😀 Kubali ni Maghost town hakuna Ubaya
 
Back
Top Bottom