Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

picha zaidi za kigoma aiport😀😀😀maskini hawa walimkosea Mola nini jameni?
hqdefault.jpg
 
Mkikuyu akili timamu katoka kutuambia Maghost Town kama yale ya Inner Mongolia kule China utatuambia nini wewe D😀 😀 😀 Kubali ni Maghost town hakuna Ubaya
maghost town pengine kwenu LDC😀😀😀humu tunapaa tu😀😀😀 8 million arrivals 2017
 
hivi unajua aiport za Kenya zinahandle passengers kiasi gani wewe? kisha nikikuuliza aiport za kilimanjaro na Dar zilizo modrn angalau kidogo zinawasaidia kivipi bas saabbu watalii wenu wote wanabebwa na ndege za ng'ambo😀😀😀
Hata passengers wa dunia nzima wakipitia Kenya, truth raims that, JNIA next year will be the biggest and ulra modern airport in EA., followed by JKNI, msitage kugeuza mada ya ukubwa wa airport na number of passengers.
 
Unajifanya hujui smh!
wala simjui kamwe..pengine unsaidie😀😀😀lakini kama ni yule mwarabu huyo namjua tangu 2016 dec...namfaham vzr sana😀😀😀ni kama ndugu yule😀😀😀
 
imagine unapanda ndege vizuri kisha unakuja kutua hapa😀😀😀...yaani haya chokora hawafai hivi😀😀
Brie+058.jpg
 
Our Superior railway with European standards is under construction better than Kenyans Railway with Guanzhou standard
hahahaha sasa hio ya Guanzhou standard imeshawasafirisha abiria millioni 2 sasa hivi mwendo kasi pamoja na watalii....hio yenu european standard imefanya nini?
 
wala simjui kamwe..pengine unsaidie😀😀😀lakini kama ni huyo mwarabu huyo nawezana naye...namfaham vzr sana😀😀😀ni kama ndugu yule😀😀😀
Naona tumeshachengana lugha hapa ,hujanielewa ukadhani "kisa" ni jina la MTU loh!
Mnamkimbia mkikuyu akili timamu "kisa" anawapa makavu live? Nahisi hapo umenielewa
 
Naona tumeshachengana lugha hapa ,hujanielewa ukadhani "kisa" ni jina la MTU loh!
Mnamkimbia mkikuyu akili timamu "kisa" anawapa makavu live? Nahisi hapo umenielewa
oooh lugha sometimes huwa inanipiga chenga...kumbe unamzungumzia akili timamu? huyo wachana naye, ni maskini flani anayetoka maeneo ya magharibi karibu na ziwa ana machungu sana na serikali😀😀😀
 
hahahaha sasa hio ya Guanzhou standard imeshawasafirisha abiria millioni 2 sasa hivi mwendo kasi pamoja na watalii....hio yenu european standard imefanya nini?
Kwani hiyo Guanzhou standard railway ilipokua underconstruction ilifanya nini??
 
Kwani hiyo Guanzhou standard railway ilipokua underconstruction ilifanya nini??
mbona unajibu swali na swali? nimekuuliza hio yenu ya european standard imewasaidia kivipi😀😀😀😀😀heri yetu ya guanzhou standard ambayo inachapa kazi...wahenga wanasema better half of something than all of nothing sijui kama unanipata
 
Hapa imeniuma kama vile ni nchi yangu.Si wanajisifu hawa wako juu Yetu imekuaje wamaepigwa D😀 😀 😀 Poleni sana
4b usd bro from nai to msa wanaenda letewa train ya 100 yrs back 😀😀😀😀 alaf wako happy
807E5476-696A-421F-AD52-B16FE3700F68.jpeg
 
Kisa anawapa makavu live !
Wakenya wote mnafyata mkia ,hadi kina Colo mz na mwaswast pamoja na lugha zao chafu wananyoroshwa
huyo jamaa anaingea point vzr kabisa 😀😀😀
alaf anaongea kitu cha kweli sio kuficha
 
Back
Top Bottom