Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_2018-04-06-07-26-53-73.png
 
Brt in Kenya will not emulate that of dar es salam,,,,,,,it will be more advanced and improved like that of Bogota, Colombia. Tz only thing you had over us was that damn brt name hii yetu will be better,,,,,uchungu ulioje
 
Sina time ya kulist cinemas 28 Ndo hizi all cinemas in tz hata wengi wenu hamjakamyanga huko

Cause unajua hazijafika 27 ..cinemas 27 unaongelea hadi cinemas za watu majumbani au ..nairobi haujafikisha cinemas 10
IMG_3015.jpg

According to that article cinemas za maana ziko 10 tu
 
I just asked him to back up his claims with a credible source ananiambia niingie google nikajitaftie. A few minutes later analeta list ya four-star hotels kisha anajiona mwanaume sana. hahaha...
kuwa na akili usibishe vitu vyakijinga ....nairobi kwa hotel ni zerooooo
 
Tz inajenga km 700+Za sgr phase mbili is pamoja out of 5 lengo ni kujenga km nyingi zaidi...izo km 485 mnaziona nyingi sana...wait 2020 tuone kuhusu sgr kama mtakua na cha kusema juu ya tz
OH my Gahd comparing tz with Kenya ni ka kucompare Johannesburg na Bujumbura, , ,,
 
Back
Top Bottom