Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_2018-04-06-09-53-33-94.png
 
World's largest slums are in South Africa, Kenya, India and Pakistan.I would like to know if tz is more developed or richer than any of these listed
 
World's largest slums are in South Africa, Kenya, India and Pakistan.I would like to know if tz is more developed or richer than any of these listed
Usiwe mjinga wa kiwango icho, ubinafsi ndio uliowapelekea kufikia uko..iyo nayo sifa???
Habari ya kipuuzi sana hii unaleta
 
Usiwe mjinga wa kiwango icho, ubinafsi ndio uliowapelekea kufikia uko..iyo nayo sifa???
Habari ya kipuuzi sana hii unaleta
Hapana sio ya kipuzi hebu cheki kama utaiona SA, India, Kenya na Pakistan kwa hii list ama ramani hapa chini.
LDC-2018.png
 
World's largest slums are in South Africa, Kenya, India and Pakistan.I would like to know if tz is more developed or richer than any of these listed
uhahah leo umekalia kuti kavu mwenyewe kua biggest slums in the world kenya imo sasa kila siku mlikua mnahangaika nn😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hapana sio ya kipuzi hebu cheki kama utaiona SA, India, Kenya na Pakistan kwa hii list ama ramani hapa chini.
LDC-2018.png
That is not a life sentence..but izo slums zenu mkicheza dunia nzima itaendelea mbaki nazo. ..ulienda shule bado ukawa mpuuzi
 
That is not a life sentence..but izo slums zenu mkicheza dunia nzima itaendelea mbaki nazo. ..ulienda shule bado ukawa mpuuzi
tuliwasaidia kuzipunguza maana jirani zetu bana😀😀😀😀😀
.jpg
 
Wewe kwani hujui 92% ya Dar Tayari ni slum...hiyo yenu ni kama hukumu ya kifo.
 
Naona sindano imewaingia baada ya nyie kugundua Longest BRT ipo hapa Kenya, tumewapita kwa mwendo wa Kinyang'auyani vile F1 inaipita baskeli.😀😀😀😀
 
nasikia hapo nairobi na mombasa aslay ni gumzo ya jiji.jina lake linavuma kila kona.

viva tanzania.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
IMG_20180405_152232.jpg
IMG_20180405_142201.jpg
IMG_20180405_142110.jpg
IMG_20180405_142033.jpg

kwa wale wakenya wachache ambao hawajui kwanini aslay ni gumzo nairobi na mombasa, tazameni hii ngoma.
 
nafurahi sana kuona wakenya wakimtaja mtanzania kama mfano wa kuigwa.

asante sana diamond, wakenya wanaiga lifestyle yako. [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 736044View attachment 736045
Kadoda kwani HUSSEIN MACHOZI aliendaga wapi,
alikuwa anaimba poa sana,lafudhi ya kizanzibari/mombasa hivi
 
Back
Top Bottom