Ule boy mzii Wa nairobi
Senior Member
- Mar 30, 2018
- 164
- 37
that is a street in dar
that is a street in dar
Kama nimekuambia barabara bado inajengwa mbona sasa unaniuliza swali la kijinga hivyo. Sasa kama barabara zote ambazo zinafanana kama outering ziko na bus stops sasa kwa akili yako unaona outerring ndio itakosa? thika road, langata rd, ngong rd nk ni barabara zilijengwa hivi majuzi na zote ziko na bus stops. Tumieni akili saa zingine. Tuongelee mambo mengine lakini sio barabara coz the standard of roads in nairobi itachukuwa Dar miaka na mikaka kuzifikiaVipi kuhusu bus stops.. maana ma3 zina drop wasee any how
Inafanana na ile cbd ya lagos yenye majengo matano kando kando ya barabara na huko nyuma ni slum
Street in Nairobi
itachukua miaka Mingapi hata ukasahau kuitaja maana unaogopa.Kama nimekuambia barabara bado inajengwa mbona sasa unaniuliza swali la kijinga hivyo. Sasa kama barabara zote ambazo zinafanana kama outering ziko na bus stops sasa kwa akili yako unaona outerring ndio itakosa? thika road, langata rd, ngong rd nk ni barabara zilijengwa hivi majuzi na zote ziko na bus stops. Tumieni akili saa zingine. Tuongelee mambo mengine lakini sio barabara coz the standard of roads in nairobi itachukuwa Dar miaka na mikaka kuzifikia
wewe ndo bwege ajabu una akili finyu Nairobi ni the 4th best city infrastracturewise na kidevelopmenthii sio Lagos mzee hii ni dar es salaam.
na kama ubakubali CBD ya dar imesimaa kuliko yrlenu wewe ni mpevu kichwani.
Hii slum ndio wanakataanga sio kwaoNdio maana hampendi picha za skyview juu mnajua dar ni uchafu. ...View attachment 733692
Watajuaje??Hapo kuna shida gani??? Au kwa vile hamjazoea miji yenye high density.
Haya angalia hapo Paris na Rome useme napo ni slum cities.
View attachment 734301View attachment 734302
bwege ni mume wako,povu la nini?wewe ndo bwege ajabu una akili finyu Nairobi ni the 4th best city infrastracturewise na kidevelopment
zuzu nairobiwalker muulize alichokiongea😀😀It's clearly written "Moi Teaching''. Kweli nynyi ni mazuzu
matusi ya nn hasira weka pembeni😀😀wewe ndo bwege ajabu una akili finyu Nairobi ni the 4th best city infrastracturewise na kidevelopment
you will never talk about kibera streets😀😀