Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_2018-04-05-00-02-16-63.png
 
Wewe unaona hizo nyumba kwenye hizo picha zinafanana na zile dream houses zenu za mabati zilizotapakaa kila mahali bila mpangilio?
hauna knowledge yeyote wewe yakumfunza mtu ama kujifunza coz upo nauharo kuanzia matakoni mpaka mdomoni......

ivi matajiri unadhani wanaishi kwenye hayo mabanda......mfano mzuri wasanii wa mbele kiukweli na uhalisia wanaoishi kwenye hayo makabati ni makapuku kama wewe na kingine wakenya woote wengi wao hasa wewe ni washamba nanimafal* msio na nyuma wala mbele

usi4c tufanane najua kuna vitu haujaelewa ila sababu wew ni boya lazima utajizoom
 
Morogoro road eneo la shekilango...brt ni mradi ulioweza kubadili taswira yajiji na kuingiza pato kubwa sana kwa siku abiria laki 2 hutumia bus kwa siku na idadi inategemewa kuongezeka...
9826af27b317761f172c4e9194e50d14.jpg
 
could be is a contingent..........as per the English I was taught and spoke.....
a contingent is a certainity or uncertainty......
How can one of the most developed African country be labelled "failed" by a Tanzanian....Lol
Hahahahahaha, njaa inakusumbua wewe, "Developed?", how can a country without food, without water, without employment opportunities, with slums, with tribalism and one among failed states be developed?
 
Dsm kuna KFC? McDonald's, Burger King, ??
Chizi kama wewe sijawahi kumuona, KFC na McDonald ndiyo maendeleo wakati Turkana na Pokot wanakufa kwa njaa?, hapo Nairobi hata maji ni shida, vijana wengi hawana kazi, mamilioni wanaishi slums bila vyoo wala maji, unazungumzia KFC, yamejaa kibao hapa Dar, ila kwetu hayo sio maendeleo wala hatuyashabikii.
 
Back
Top Bottom