kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
Ndio walivyo hao kujikweza kwa kila kitu wakati njaa inawamaliza wakiwa na tai zao shingoni, umemshika pabaya.
tayari rickross tulishawahi kumleta tz na aka perform... kwa sasa hatuna haja naye.hahah kadoda,mbona asiipelekee Dar,
juu huko watu ni poor they cant afford ticket ya $100 na show iwe sold out...
hii ndio shida ya kula githeri mda wa evening...after 10 minutes lazima tumbo ijae gas. matokeo yake unaanza kujamba hovyo hovyo mbele za watu bila hata kuona aibu.Wewe unakuanga na ushabiki ya kijinga sana. Unaongea kama mtu aliyekunywa mchuzi wa albino na kubakisha viganja vya miguu. Kwani all international artists ambao washawahi perform kenya huwa hizo shows zinakuwa organized na watanzania? Acha kufikiria kutumia matako

Hawa ata mawe hawawezi shinda,huhuhuhView attachment 734484View attachment 734485View attachment 734486
God bless Tanzania .. Commonwealth games Gold coast, Australia
Hayaa..Hawa ata mawe hawawezi shinda,huhuhuh
Ninaweza kukubaliana na wewe katika hiliHawa ata mawe hawawezi shinda,huhuhuh
La muhimu nilitaka ujue ni kwamba outtering rd bado iko under construction. Hizo story mingi zako za vijiweni peleka tandale au mwanyamala kwa uswaziitachukua miaka Mingapi hata ukasahau kuitaja maana unaogopa.
kwasasa nai inaizidi dar upana wa Barbara si urefu,dar ina Barbara nyingi na ndefu zaidi.
The most important thing ni kwamba message umeipatatayari rickross tulishawahi kumleta tz na aka perform... kwa sasa hatuna haja naye.hii ndio shida ya kula githeri mda wa evening...after 10 minutes lazima tumbo ijae gas. matokeo yake unaanza kujamba hovyo hovyo mbele za watu bila hata kuona aibu.![]()
![]()
The three blue towers as ussualHeaven of PeaceView attachment 733559View attachment 733560
Hahahaha...some dreams are just not valid. Wewe kwa akili yako unaona huo mji wenu ambayo haina mpangilia iko na uwezo wa kufikia chicago? Anzeni kwanza kwa kuplan upya dar kwa kubomoa majengo yote hapo cbd kisha mmalizie na zile dream houses zenuyahhh....hivyo ndivyo dar itakuja kuwa.....city yenu ya nairobi ni local sana .....mpaka mkija fika huko ni miaka trillion 99999999 angali dar itachukua miaka 40 tu
Now which one is more important? Bendera ya tanzania au jina ya hilo jengo? I can clearly see a place written 'Moi Teaching and Referal Hospital'. Hata nyinyi pia mnajaribu!kweli kabisa ....upo makini
Wewe unaona nin nini?so utasema hio ni slum😀😀😀
Akileta uniambie...ukipeleka vita angani hapo umewaweza...wanajua mji wao hauna kitu nje ya cbdhebu aeriel view ya mchana.....Ile above the tallest building......hahaha.
Asante...wewe ni kama unaelewa Nairobi kidogi. si kama hawa wenzako wengineIlo jengo la nssf limetulia sana...
Point yangu ni kwamba pengine hamna waandisi waliobobeaSasa kama wanajiweza kwann wasipate kazi? ?tunajigamba si pesa tulitoa su ulifikiri walishindwa kuichorea ijengwe Kenya kama mlikua na hela
Kwanini msiweke bendera ya Kenya mnaweka ya tz ,au ndio mambo ya failed stateNow which one is more important? Bendera ya tanzania au jina ya hilo jengo? I can clearly see a place written 'Moi Teaching and Referal Hospital'. Hata nyinyi pia mnajaribu!
Watasema ni picha ya 90s ama hata wakatae hiyo sio Dar. these people never cease to amazeKuliamsha dude na slum city Dar.
Aeriel view
![]()
Street view
![]()