Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aga khan mombasa
AGA-Khan-Hospital-Tanzania-768x322.jpeg
 
hii bugando ni konde kama kichochoro ya tandale....Lol.face ndio imewekwa kuhadaa watu ati hospitali ni pana.....huhuhu.Hii hata haifikii Jaramogi hospital ya kisumu
 
hii bugando ni konde kama kichochoro ya tandale....Lol.face ndio imewekwa kuhadaa watu ati hospitali ni pana.....huhuhu.Hii hata haifikii Jaramogi hospital ya kisumu
unaona sasa unavolia 😀😀😀bugando iko juu kabisa ya mlima na ime cover over 80% ya mlima wote kwa juu
 
Outering is still under construction my brother. Hiyo barabara hata ninapoandika hii kuna sehemu bado zinachimbwa na hata taa za barabara hazijawekwa the whole stretch kutoka allsops hadi taj mall. hiyo outering mnaongelea hapa hakuna barabara Dar inafikia. Hamfai kuongelea barabara coz mnajua hamba usemi juu ya Nairobi when it comes to roads and raod networks.Ngoja outtering imalizwe sijui mtaongea nini
Vipi kuhusu bus stops.. maana ma3 zina drop wasee any how
 
Back
Top Bottom