Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona huiibu swali unakwepa?, USA in deni lakini bado uchumi wake ni imara kuweza kuendelea kutoa misaada duniani, Kenya ina madeni js inasaidia nani wakati hata chakula ni shida?, usijilinganishe na tajiri, hata kama ana deni, lakini uchumi wake ni imara, sio sawa na Kenya
Tunasaidia omba omba wenu wasiokuwa na mbele wala nyumba katika barabara za miji yetu
 
Screenshot_2018-03-31-22-06-55-20.png
 
kuna mchumi wenu aliongea akasema kenya inakopa pesa kwa ahili ya consuption and not development mkamuona mjinga sana sasa leo hii mumefkia hatua ya kukopa deni kulipa deni...😀😀😀😀 yani mumefkia hali mbaya sana mpaka serekali inakiri haina pesa😛😛
Ingekuwa ni hivyo saa hii hatungekuwa mbele yenu kiuchumi na kimaendeleo
 
Ingekuwa ni hivyo saa hii hatungekuwa mbele yenu kiuchumi na kimaendeleo
tanzania imeanza kuamka just 10yrs na sasa tuko na small gap kwenye GDP so unategemea nn 5 yrs to come😀😀
 
small GDP lakini inaonesha wonders kwa kufadhili miradi mikubwa ambayo kenya imeshindwa na imedai haina pesa hahahah😀😀😀😀

kwa uchache
SGR mpaka sasa kwa 2phase 3.16b usd
stiglers gorge dam 2b usd
kinyerezi 2... 300m usd
7 new aircraft over 1b usd
JNIA terminal 3...560m usd
Wonders gani wakati kujikwamua kutoka ldc imewashinda miaka hamsini tangu muanze kujitawala?? That is the biggest wonder you can do to your motherland, Tanzania. Hizo miradi umetaja hapo juu karibu yote yako kenya na mengi yamekamilika. Tafuteni rika zenu mjilinganishe nao
 
kwan nyie mumetoka lini 2014 unaona ni miaka 10 au???😀😀😀😀 na kilindi chote tanzania ilikua bado haijaamka leo imeamka just 10 yrs munalia kama watoto bana

yanekamilika kwa mikopo 😀😀😀😀
SGR mkopo
lamu port mkopo
roads nyingi mikopo
 
kwan nyie mumetoka lini 2014 unaona ni miaka 10 au???😀😀😀😀 na kilindi chote tanzania ilikua bado haijaamka leo imeamka just 10 yrs munalia kama watoto bana
Biggest wonder ni kuwa failed state, na hakuna dalili kama mtatoka katika kundi la failed state ndani ya miaka kumi ijayo.
 
Kwa hivyo leo umekubali ni watanzania? Mumewakana siku mingi sana as if sio watanzania wenzenu. Kongole
si muwarudishe sasa kama watanzania kwan shida iko wap hahahah😀😀😀😀
 
tanzania imeanza kuamka just 10yrs na sasa tuko na small gap kwenye GDP so unategemea nn 5 yrs to come😀😀
Rome was not built in a day my friend. Kama umekiri kwamba mumeamka just 10 years ago basi mjipe miaka kama hamsini hivi ndo muanze kufikiria kufikia kenya kiuchumi na hata kimaendeleo. Hata hii kenya yetu haikufikia maendeleo inayo saa hii in a flashlight. it takes a lot of time and commitment to have meaningful development. kwa saa hii you are in a transition stage.
 
na hio miaka 10 ndio inawanyima usingiz mpaka leo hii ndio maana gap ya gdp imepungua sana tena sana na miaka 5 ijayo mutakaa mkao wa kula😀😀😀
 
kwan nyie mumetoka lini 2014 unaona ni miaka 10 au???😀😀😀😀 na kilindi chote tanzania ilikua bado haijaamka leo imeamka just 10 yrs munalia kama watoto bana

yanekamilika kwa mikopo 😀😀😀😀
SGR mkopo
lamu port mkopo
roads nyingi mikopo
Aliyewaambia mlale hizo miaka arobaini ni nani? Tafuteni mganga aliwaroga awasaidie kabla hajafa ndo muache visingizio visivyokuwa na misingi
 
Back
Top Bottom