Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

US haiko level moja na kenya ndugu USA is ahead of kenya for more than 400yrs yani kujifananisha na USA hio toa uchafu kwenye ubongo wako
Who said nafananisha kenya na USA? I used US as an example kwa sababu kwa akili yako unaona kwamba kenya kuwa na deni ni big deal sana. Hata tanzania Iko na deni ama ulikuwa unataka nifananishe kenya na Tanzania? Never coz you are not an inspiration to us and you will never be
 
USA ina madeni lakin inaipa kenya misaada kila leo nyie munamadeni munampa nani msaada??? somalia au??😀😀 chakula kununua kimewashinda alaf unawaza USA anamadeni hahaha
 
4799661781_4243c0e3d9_b.jpeg
 
Wewe ndio hauko sawa kiakili kwa kufikiri kwamba kenya ndo nchi ya pekee iliyo na deni duniani. At least sisi tumechukua madeni kujiendelza na kujiinua kiuchumi, nyinyi deni yenu mumefanyia nini na bado mmekwama kwenye lile tope la ldc?
Tumia akili wewe, unadhani Bank ikimdai Chris Kirubi ni sawa na kukudai wewe?, kirubi ana sourcs nyingi za kulipa deni, na pesa anayochukua anakwenda kuwekeza katika biashara zinajulikana. USA au Japan hata wawe na deni kiasi gani bado wanakopesheka na hakuna finacial institution itakayokuwa na mashaka, sio hizi nchi masikini kama Kenya.

Katika nchi ambazo zinatumia pesa wanazokopa vibaya, Kenya inaweza kuongoza hapa duniani, mnakopa kulipa madeni ya nyuma, pesa zinaibiwa ndani ya mifuko zinabebwa kama mahindi, hata hiyo miradi mliyowekeza mingi haina faida, huwezi kulinganisha na Tanzania katika hilo, huku tunatumia pesa vizuri ndiyo sababu hatupo katika kundi la failed states
 
USA ina madeni lakin inaipa kenya misaada kila leo nyie munamadeni munampa nani msaada??? somalia au??😀😀 chakula kununua kimewashinda alaf unawaza USA anamadeni hahaha
Umesahau wale omba omba wenu wa tom mboya street kule katikati mwa jiji la Nairobi?
 
USAiD even donates cash to Tanzania jinga hii.........Melinda and Bill gates foundation too.....ama nikuletee list ya donors to Tanzania.....heri sisi most of the donations end up in kakuma and dadaab refugee camps which host millions of people
 
topic imebadilika sasa😀😀😀😀 sio madeni heheh 60% debt to GDP ratio kwa nchi maskini kama kenya unaona ni sawa tu
 
tunazungumzia debt mbona una nyege sana😀😀
tuliza kipapa ndugu
 
Tanzania Ile sehemu nishatembelea nimeona umaskini wa kiajabu. .....this year I want to tour the southern and western parts nione hata kama ziko atleast........hao wasee si LDC kimakosa.......
Unakuja na hilo tumbo lako kama mimba ya panya.
 
Tumia akili wewe, unadhani Bank ikimdai Chris Kirubi ni sawa na kukudai wewe?, kirubi ana sourcs nyingi za kulipa deni, na pesa anayochukua anakwenda kuwekeza katika biashara zinajulikana. USA au Japan hata wawe na deni kiasi gani bado wanakopesheka na hakuna finacial institution itakayokuwa na mashaka, sio hizi nchi masikini kama Kenya.

Katika nchi ambazo zinatumia pesa wanazokopa vibaya, Kenya inaweza kuongoza hapa duniani, mnakopa kulipa madeni ya nyuma, pesa zinaibiwa ndani ya mifuko zinabebwa kama mahindi, hata hiyo miradi mliyowekeza mingi haina faida, huwezi kulinganisha na Tanzania katika hilo, huku tunatumia pesa vizuri ndiyo sababu hatupo katika kundi la failed states
Nimesema tumekopa hizo pesa na kuzitumia kujiinua kiuchumi ndo maana uchumi wetu ni kubwa maradufu kuwaliko. Nyinyi madeni yenu mumezitumiaje coz the last time I checked, Tanzania is one of the least developed countries in the world and your country has a smaller gdp compared to Kenya's.Nani mjinga kati ya kenya na Tanzania?
 
USAiD even donates cash to Tanzania jinga hii.........Melinda and Bill gates foundation too.....ama nikuletee list ya donors to Tanzania.....heri sisi most of the donations end up in kakuma and dadaab refugee camps which host millions of people
Mbona huiibu swali unakwepa?, USA in deni lakini bado uchumi wake ni imara kuweza kuendelea kutoa misaada duniani, Kenya ina madeni js inasaidia nani wakati hata chakula ni shida?, usijilinganishe na tajiri, hata kama ana deni, lakini uchumi wake ni imara, sio sawa na Kenya
 
Nimesema tumekopa hizo pesa na kuzitumia kujiinua kiuchumi ndo maana uchumi wetu ni kubwa maradufu kuwaliko. Nyinyi madeni yenu mumezitumiaje coz the last time I checked, Tanzania is one of the least developed countries in the world and your country has a smaller gdp compared to Kenya's.Nani mjinga kati ya kenya na Tanzania?
kuna mchumi wenu aliongea akasema kenya inakopa pesa kwa ahili ya consuption and not development mkamuona mjinga sana sasa leo hii mumefkia hatua ya kukopa deni kulipa deni...😀😀😀😀 yani mumefkia hali mbaya sana mpaka serekali inakiri haina pesa😛😛
 
topic imebadilika sasa😀😀😀😀 sio madeni heheh 60% debt to GDP ratio kwa nchi maskini kama kenya unaona ni sawa tu
Uliniuliza tunawapa akina nani misaada na nikakukumbusha tu kwamba Tanzania kupitia omba omba wao jijini nairobi, ni moja ya nchi ambazo kenya huzipa misaada. mbona unakasirika na ni jibu tu ndo nimekupa?
 
Nimesema tumekopa hizo pesa na kuzitumia kujiinua kiuchumi ndo maana uchumi wetu ni kubwa maradufu kuwaliko. Nyinyi madeni yenu mumezitumiaje coz the last time I checked, Tanzania is one of the least developed countries in the world and your country has a smaller gdp compared to Kenya's.Nani mjinga kati ya kenya na Tanzania?
small GDP lakini inaonesha wonders kwa kufadhili miradi mikubwa ambayo kenya imeshindwa na imedai haina pesa hahahah😀😀😀😀

kwa uchache
SGR mpaka sasa kwa 2phase 3.16b usd
stiglers gorge dam 2b usd
kinyerezi 2... 300m usd
7 new aircraft over 1b usd
JNIA terminal 3...560m usd
 
Back
Top Bottom