Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu ujinga yako ni kwamba husomangi link ujue inazungumzia nini. Hiyo taarifa inazungumzia wasomali waliotorokea kenya kutafuta chakula kutokana na njaa ulioletwa na ukame nchini Somalia. Acha kuonanika ujinga yako dunia nzima ione
unaona sasa unavokua bogus inaonesha kiswahili hukielewi vzr ngoja nikuletee lugha ya wazungu labda utaelewa😀😀😀😀
 
I am working on some Brt vs daladala videos kesho......nitawaibisha na hizo brt zenu....get ready
hasira zikupande ulete na hiace useme dar kwa taarifa yako dar hakuna gari hzo za hiace never 😀😀😀
 
unaona sasa unavokua bogus inaonesha kiswahili hukielewi vzr ngoja nikuletee lugha ya wazungu labda utaelewa😀😀😀😀
Labda sielewi kiswahili lakini najua kuisoma. Tafuta taarifa nyingine, hiyo tushajua inazungumzia wasomali wala sio wakenya
 
Labda sielewi kiswahili lakini najua kuisoma. Tafuta taarifa nyingine, hiyo tushajua inazungumzia wasomali wala sio wakenya
nn usichoelewa hapo😀😀😀😀
288969F3-BBBF-4093-94A1-D5E38C6EE474.jpeg
 
Naona hata hizo number plates pia sio za Dar. kwa kukana mambo hapo mumebobea na wala hamna mpinzani. Mnakana vitu hata za wazi
hiace ziko mikoani kama arusha mbeya na kwengineko lakin sio dar never😀😀😀
 
You know Kenya and Tanzania are like Siamese twins and it honestly pains me to see our neighbours stuck at LDC level despite the vast resources they are endowed with......our Tanzanian brothers and sisters you can always call on us to help out msiumie kwa siri.....ama vipi ichoboy..
na msichome kuku zetu na kuiba ngombe za maasai wetu
 
Back
Top Bottom