ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
tulisubiri vijana wasone kwenye kila sector alaf sasa tuanze kutumia resources ndio maana unaona kazi sasa na game limekua gumu sana kwenu😀😀😀Aliyewaambia mlale hizo miaka arobaini ni nani? Tafuteni mganga aliwaroga awasaidie kabla hajafa ndo muache visingizio visivyokuwa na misingi