Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jo'burg level nyingine bana... Hebu acha kufananisha uchafu wenu huo na mji wa makaburu ule

No one's like SA cities Africa hii, ukweli lzm usemwe

how is that your problem.......it's us Kenyans vs southAfricans not Tanzanians
 
Which is bigger....?
Mabati rolling mills
New-MRM.jpeg
 
how is that your problem.......it's us Kenyans vs southAfricans not Tanzanians
We mtu wa bara la Somali utawaweza wapi SA....

Kenya, Tanzania and other neighbors are all daughters of the same mother

Hakuna maendeleo mliyokua nayo useme hamustahili kuwa let's say LDC.. never, uwezo wenu wa kimaendeleo ni wa kawaida kama Tanzania

Tatizo lenu Nairobi ndiyo inayowapa kiburi, but Huko Moyale, Turkana, Garissa, Lamu, Marsabit, Mandera, Western Region yotee hakuna cha maana zaidi ya umaskini uliotukuka...

Tatizo lenu nyie ni kama Nyani, Hamlioni ku*ndu lenu kazi kuchungulia miku*ndu ya wenzenu na kuwacheka eti LDC, LDC
 
relax.....how's that your problem
 
lamu yapata barabara yake ya kwanza ya lami baada ya miaka 55 ya uhuru wa kenya.
View attachment 722078View attachment 722079
NB:
halafu utasikia baadhi ya muggers na majobless ya nairobi yakiimba wimbo wa "tz ni ldc" wakati kwa miaka 55 ya uhuru wa kenya, baadhi ya maeneo katika counties ndio yamepata barabara ya lami mwaka 2018.

hakika wakenya ni wajinga wa level ya pinnacle tower.
😀😀😀😀 HUNA AIBU
LAMU IS A CITY WHICH DOES NOT ALLOW CARS SO WHATS THE NEED FOR PAVED ROADS
DO YOUR RESEARCH.
LAMU IS ADRIVERLESS CITY
 
Back
Top Bottom