Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alaf wapuuzi wanakwambia MW 1300 hahaha tanzania inawakuna kila pembe sasa hii ni umeme vijijini narudia kauli yangu tanzania ni miongoni mwa nchi africa zinazopeleka umeme kwa wingi sana vijijini
Good job tanzania
68E61A96-85C9-4A73-8EE8-02E293779178.jpeg
 
😀😀😀😀 HUNA AIBU
LAMU IS A CITY WHICH DOES NOT ALLOW CARS SO WHATS THE NEED FOR PAVED ROADS
DO YOUR RESEARCH.
LAMU IS ADRIVERLESS CITY
Ficha ujinga wako hapa..!!!

Huoni hata aibu kupayuka tena kwa herufi kubwa, yaan uliyopayuka hata kwa mtoto wa Korogocho hatoweza kusikia ujinga wako

Kwanza Lamu kua City tangu liniiiii!?? hii si kali ya karne

Heb wakenya kuweni serious sometimes

Kitongoji hakina barabara ya Lami tangu miaka 55 ya Uhuru iliyopita

Halafu eti ooh Magari sijui hayaruhusiwi sijui nin... Unaongea ujinga ujinga ujinga, we kubali tuu Kenya kimaendeleo bado sanaaaaaa

Tena hizo ni 15 Km, huku wenzako wanafurahia kupita na magari kwenye barabara ya Lami tangu Uhuru
 
Hii kitu nahisi ni 2011 kurudi chini
Wasikusumbue hao nyang'au, wanaleta picha ambazo hazionyeshi details kwa kupiga toka mbali sana, kwasababu wakileta picha zilizopigwa karibu zikionyesha Dar vizuri wanadhalilika kwa jinsi mji unavyopendeza, sio kama Nairobi jiji la zamani na chafu sana
 
more aeriel views coming......
 
Unacheka ujinga, how many cities or town in TZ have escalator???

I think probably only in Dar... Kenya ziko karibia kila mjii
Acha aibu....mawazo yakifukara kama haya hatutaki...mwishowe uanze kuuliza nyumba ngap zina mapazia pumbav
 
Unacheka ujinga, how many cities or town in TZ have escalator???

I think probably only in Dar... Kenya ziko karibia kila mjii
Acha aibu....mawazo yakifukara kama haya hatutaki...mwishowe uanze kuuliza nyumba ngap zina mapazia upumbav hatutaki
 
Back
Top Bottom