Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dsm
original-3a69e0574a266f5e8496187e470d8207.jpg
original-7152ad05c2c318175fe48cfe9a76c148.jpg
original-b78b0748e412e006db7dceb965c38524.jpg
original-e51ead579ef28dd00425844a40bfef54.jpg
original-e5649c5aee9b92ec2fe42b9da0ab7fa0-1.jpg
 
lamu yapata barabara yake ya kwanza ya lami baada ya miaka 55 ya uhuru wa kenya.
IMG_20180322_125812.jpg
IMG_20180322_125832.jpg

NB:
halafu utasikia baadhi ya muggers na majobless ya nairobi yakiimba wimbo wa "tz ni ldc" wakati kwa miaka 55 ya uhuru wa kenya, baadhi ya maeneo katika counties ndio yamepata barabara ya lami mwaka 2018.

hakika wakenya ni wajinga wa level ya pinnacle tower.
 
Kuna mama mmoja kauza kiwanja chake(nasema kiwanaj kwasababu kulikuwa na nyumba zile za mkoloni) maeneo hayo $6m mwaka juzi.
Kweli mkuu.. bei hapo hazi shikiki. Nime kulia kipande hiko, nyumba zilijengwa na NHC. Masela kibao wametoboa na wengine kutapanya baada ya familia kuuza mijengo.
 
Nilikuambia jana kuwa Nchi inayowatengenezea SGR iko ranked as a Failed state pia.
Nchi ipi hyo? Sisi siyo kma nyie, tunajenga SGR kwa pesa zetu. Mkandarasi ametafutwa in a fair process ambayo ina involve kucheck financial status yake. Jaribu ku elimika kidogo
 
lamu yapata barabara yake ya kwanza ya lami baada ya miaka 55 ya uhuru wa kenya.
View attachment 722078View attachment 722079
NB:
halafu utasikia baadhi muggers na majobless ya nairobi yakiimba wimbo wa "tz ni ldc" wakati kwa miaka 55 ya uhuru wa kenya, baadhi ya maeneo katika counties ndio yamepata barabara ya lami mwaka 2018.

hakika wakenya ni wajinga wa level pinnacle tower.
Heti wanajaribu kulinganisha Kenya na Tanzania katika barabara za Lamu, Tanzania mikoa yote ina barabara za lamu, pamoja na kwamba eneo la Tanzania ni mara mbili ya Eneo la Kenya, hawa jamaa wajilinganishe na Somalia au South Sudan katika barabara, Tanzania hapo katika level yao kabisa.
 
Back
Top Bottom