Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mugger hii hasira bora upeleke kwa choo ikusaidie kusukuma mavi. hapa hakuna atakeye ku-notice.
😀😀😀😀😀We ni kichaa,lakini muache kutumia picha za muscat ati ni jnia 😀😀😀😀😀Kuwa na siku njema wacha nipeleke hasira zangu choo.
 
Jnia
images.jpeg
 
😀😀😀😀😀We ni kichaa,lakini muache kutumia picha za muscat ati ni jnia 😀😀😀😀😀Kuwa na siku njema wacha nipeleke hasira zangu choo.


for sure wahurumie tu,these guys are desperate to compete with Kenya so they will do anything eti waonekane kuwa wapo pia.lakini ni wadogo zetu hatutawacondem sana.
 


Uwanja wa Michezo Mpya unaojengwa kwa msaada wa mfalme wa Morocco Mtukufu Mohammed VI
 
Tell me kama escalator iko Tz.

Nimetafuta online hata Dar haina.. huku ipo kila corner
Hakuna au sio ???😀😀😀😀😀😀
Hvi nyie hua munafkir watu wako 90s au sio au hua munajiona muko mbali sana 😛😛😛😛
 
Eti Jay tuambie vizuri hapa, ni kweli Lamu ilikua haina barabara ya lami tangu Uhuru...!?!?

Hii ni aibu kwa nchi DC kama Kenya
View attachment 721719
Hii Lamu si ndiyo wanajenga ki port chao ambacho ujenzi wake hauna mbele wala nyuma! Ndiyo maana Museveni aliwakatalia aka amua aende zake Tanga full tarmac kila corner, nani anapenda kupigwa mavumbi
 
Back
Top Bottom