Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picha za SGR usiku na Mchana, Bagamoyo na vinyerezi bado nangoja hata ingaea site tunajua hizo projects ni hewa tupu.

Hehe na hii ilikuwa Dec 2017, now inatoa 60MW hadi kufika june itakua ina inject 240MW full capacity
Mambo ni
IMG_2398.jpg


Below ilikuwa Nov 2017 90% was done
IMG_2399.jpg

IMG_2401.jpg


Kumbuka hapo Kinyerezi 1 is extended kuongeza 150mw to 335 mw
IMG_2400.jpg
 
Ulisikia wapi watanzania wanaenda US?, ninyi mnaopenda kuolewa na wazungu ndio mnaokwenda huko, sisi tunabaki ndani ya nchi yenye maziwa na asali.



Maziwa na asali my foot,mbona kila siku mnatembeza vibakuli mkituombaomba ? hata siezi nunua wine ambayo inanitosha nikakunywa,kila wakati nawaza tu venye nitawabakishia coins angalau pia mpate kakitu.
 
Maziwa na asali my foot,mbona kila siku mnatembeza vibakuli mkituombaomba ? hata siezi nunua wine ambayo inanitosha nikakunywa,kila wakati nawaza tu venye nitawabakishia coins angalau pia mpate kakitu.
Sasa mbona wanaume wa Kenya wanaenda US kuolewa na wazungu, si ni bora hao ombaomba kuliko ninyi mnaosukumizwa dushelele za wazungu huko nyuma.
 
Unaona sasa ulivo huna akili settler wa britain unasema mkenya???? Ndio maana hua tunakuambieni ardhi kenya imeshikwa na settlers pamoja na politicians

Settler kwenye arable land anapanda maua anaacha kupanda chakula kwa ajili yenu ndio maana njaa inawatafuta each day😀😀😀


Kingereza ngumu kweli. David Langat ni Mkenya. Huyo mzungu ni mojawapo ya vigogo hapo tea limited yenu. Soma tena
 
Watanzania wataenda US kuzungumza lugha gani na hawajui kizungu
diamond hajui kuzungumza kingereza kwa ufasaha lakini anamiliki nyumba SA, rwanda, kenya na pia hivi karibuni mmemzawadia ardhi.

hapo nairobi kuna vijana wanazungumza kingereza kwa ufasaha lakini ni majobless. wamebaki kupiga ma-round cbd na kufanya ukora.

endelea kupiga porojo kuhusu kingereza.
 
Back
Top Bottom