Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo ninyi mnajifunza kizungu ili muweze kuolewa na wazungu sio?, ngoja na sisi tujifunze ili tuweze kuwaoa japo tuwape chakula kama wake zetu

Nyinyi kazi yenu ni kuwa vilaza hamuwezi soma zaidi ya lugha moja hata sidhani kuna polyglot huko kwenu.
 
diamond hajui kuzungumza kingereza kwa ufasaha lakini anamiliki nyumba SA, rwanda, kenya na pia hivi karibuni mmemzawadia ardhi.

hapo nairobi kuna vijana wanazungumza kingereza kwa ufasaha lakini ni majobless. wamebaki kupiga ma-round cbd na kufanya ukora.

endelea kupiga porojo kuhusu kingereza.

Hii shamba ya Diiamond mtatuimbia hadi karne iishe.
 
Siku ya ku launch hiyo electric SGR Magufooli atatangaza hakuna cha stima wakati treni zinafanya kazi. Jichocheni tu na hizo Megawatts kidogo mnazalisha.
 
kama unapatwa sana na hasira tunapotaja jina la diamond platnumz , tafuta transformer yoyote ya kenya power ukumbatie. ukinasiana tutakuja "kukubandua".

Hatuna hasira na kijana wa Tandale. Hata mamaye pia hatuna shida naye. Very soon atajoin wasanii wenzenu ambao hupotelea Nairobi

Diamond's mother was pretty much excited. She literally carried the title deed everywhere she went, but we understand. Land in Kenya is a sign of wealth, and The Boy from Tandale did not miss that train.
 
this delicious food is called biryani, very common among the people who live along the coast of indian ocean in tanzania and kenya. it's eaten daily.
b9f16465f43a0b46d2c675b5e0cd657e.jpg

NB
kuna mkenya mmoja mshamba alidai biryani huliwa wakati wa fasting(mfungo wa ramadhani).

wakenya ni washamba wa kila kitu mpaka vyakula.
 
Hatuna hasira na kijana wa Tandale. Hata mamaye pia hatuna shida naye. Very soon atajoin wasanii wenzenu ambao hupotelea Nairobi

Diamond's mother was pretty much excited. She literally carried the title deed everywhere she went, but we understand. Land in Kenya is a sign of wealth, and The Boy from Tandale did not miss that train.
watz tunapata faraja sana kuhusu diamond platnumz kupata title deed katika nchi ambayo majority ya raia hawana ardhi. viva tanzania...
 
this delicious food is called biryani, very common among the people who live along the coast of indian ocean in tanzania and kenya. it's eaten daily.
View attachment 718493

NB
kuna mkenya mmoja mshamba alidai biryani huliwa wakati wa fasting(mfungo wa ramadhani).

wakenya ni washamba wa kila kitu mpaka vyakula.
hiimijamaa huenda hata tende ikawa inajua zinauzwa wakat wa mfungo tu wakat watu tunatumia daily kutunza afya
 
Siku ya ku launch hiyo electric SGR Magufooli atatangaza hakuna cha stima wakati treni zinafanya kazi. Jichocheni tu na hizo Megawatts kidogo mnazalisha.
hicho kiswahili kibovu cha stima mlikitolea wapi majirani usimuone kobe kainama ujue anatunga sheria hizo megawatt tunazozalisha tutaanza kuuza mpaka nje we komaa kwa ziko kidogo mutajibeba wakat wa uzinduzi
 
watz tunapata faraja sana kuhusu diamond platnumz kupata title deed katika nchi ambayo majority ya raia hawana ardhi. viva tanzania...

Buda, only about 10 % of Kenyans are landless. Hii majority labda ni Kingereza huelewi. Majority of Kenyans >90 % own land.
 
this delicious food is called biryani, very common among the people who live along the coast of indian ocean in tanzania and kenya. it's eaten daily.
View attachment 718493

NB
kuna mkenya mmoja mshamba alidai biryani huliwa wakati wa fasting(mfungo wa ramadhani).

wakenya ni washamba wa kila kitu mpaka vyakula.

Hiki chakula cha kawaida sana ndugu.
 
Back
Top Bottom