Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unahasira sana na mafanikio ya diamond. pole sana ndugu.

hii hasira wala haitasaidia sanasana utaishia kupata BP ungali kijana mdogo.

wale nigerians chezeni mbali nao.
.....wako ligi nyingine.sikizeni chokoraa kama harmonize polepole bila kutupigia kelele
 
Kadoda kapost chakula cha msimu wa idd ul fitr kajigamba hapa.....na ni masikini ndio hupakuliwa design hiyo wakati huo....lol
 
ombaomba wa kitz nchini kenya wapo smart sana.

wana travelling documents zote zinazowawezesha kusafiri mpaka kenya.

Uhahaha,kumbe mnatumwa na ******** kuja kuomba Kenya hadi mnapewa travel documents? Ghai!! sisi wenzenu tumechoka kuwapeaga mapeni kila siku ,ni lini mtakoma kuja kutuomba?
 
hawawezi enda malawi,Mozambique,Uganda Rwanda au Burundi.....ni Kenya tu ndio wanamiminika lol....[HASHTAG]#Respec[/HASHTAG] the +254
 
wanakuja kuomba kenya kwasababu wakenya ni wajinga.
 
hawawezi enda malawi,Mozambique,Uganda Rwanda au Burundi.....ni Kenya tu ndio wanamiminika lol....[HASHTAG]#Respec[/HASHTAG] the +254

These guys are mean,we help them a lot ,but they don't appreciate ,how I wish they should learn to appreciate what is appreciable.
 
Diamond is trying so hard to be like wizkid or Tekno miles lakini juhudi zake zimegonga mwamba sawasawa amebaki kukaranga njugu huko darisalum town
diamond hamumuwezi hata king kiba hamumuwezi naomba mpeni pesa kwa wingi alete nyumban aendelee kutoa ajira zaidi😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom