Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Correction, Kenya hamna Reli ya Kisasa, and besides, Kenya didn't build anything, The Chinese did. Their money 100%, their Human Resource, Their raw materials 100%, and their technology 100%,
What is yours in that Oldy Jurassic Rail? Nyie mnachoweza ni kutupigia makelele na kupiga selfie tu kwenye hayo magarimoshi, bure kabisa.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hii umeleta wewe ndio excuse yenyewe sasa.eti tunajenga reli baada ya kenya kujenga!!!!

Kwa kigezo kipi tumeiga yenu???labda kununua china tu,ila hizo ni vitu mbili hazifanani.

Lenu ni gari moshi la miaka ya sabini huko na speed yake ya konokono at 21st century.labda tuipee hizi zinabeba watu asubuhi na jioni hapa dsm.
 
Kumbuka Diamond anaanzisha Redia na TV stations hapa Bongo, uchumi wenu umeporomoka na investors wenu wanakimbia kuja kuwekeza Kenya, kama angeona kuna pesa huko angekuja kuanzisha TV stations kwenu, huko anakuja kama anavyokwenda Rwanda kutafuta biashara, Rwanda atanunua na nyumba kabisa, lakini investment zake zote 99% zipo Bongo.
 
Hapa kunatofauti kubwa sana kati ya wakenya na watanzania. Kwa watafiti nilikutana na watafiti wa kiongelea uzi huu. Wakenya wana post everyday vitu vile vile huku watanzania wakionesha vitu vingi tofauti tofauti.
kabisaa
 
harminize,diamondi,mavoko wote wako kenya kurecord ngomana kujinyc.......mbosso amesema alikua akae siku tatu but ameextend siku 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…