Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwanini asimlete Tanzania..nyinyi kweli LDC

wee kilaza, rick ross alishafika tanzania mwaka 2012.hatumuhitaji tena...anamleta huko kwenyu kwasababu nyinyi ni washamba na anajua mta attend wengi kwa event.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
haha jamaa anatoa album Kenya instead ya tz..LDC ni lldc
 
Reli inaishia pale kwa corner behind that man with a bag...tena kwani reli inajengwa na mchina ama ni ile sample ya Mchina??
endelea na kilio hatujamaliza hata mwaka toka ujenzi umeanza😀😀😀😀😀

yenu hio old fashion of 50 yrs ago mlijenga 3 and ahalf yrs ukumbuke hvo😛😛😛😛😛😛
 
haha sasa electric train hadi dododma na dodoma yenyewe inakaa refugee camp
 
haha poor you diamond amebuy shamba ngong anasema kununua shamba kenya tz ni very big achievement
safi sana na hongera kwa diamond kununua shamba kenya.

ni fahari sana kwa mtanzania kumiliki ardhi katika nchi ambayo majority of citizens are landless.
viva tanzania. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
investor ni diferent na serikali nugu hii
wewe unaakili timamu huyu ni serekali???
e3f6be12-add1-4891-8552-fbdc51c10ae7-jpeg.716723
 
safi sana na hongera kwa diamond kununua shamba kenya.

ni fahari sana kwa mtanzania kumiliki ardhi katika nchi ambayo majority of citizens are landless.
viva tanzania. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
haha landless ni wewe..land hapo niya serikali..no Tanzanian owns land
 
Back
Top Bottom