Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naskia mmeshanunua rasmi bullet train😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
trlllll-660x375.jpg

kadogosa-950x713.jpg

lol
 
wakati wasanii toka tanzania kila siku wanapanda ndege wakizunguka dunia na kufanya show katika nchi mbalimbali za africa, europe na USA, wasanii wa kenya wanaishia kufanya show kwa counties.
viva tanzania.
[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
IMG_20180316_132416.jpg
IMG_20180316_132717.jpg
IMG_20180316_132445.jpg
IMG_20180316_132638.jpg
IMG_20180316_132615.jpg
 
wakati wasanii toka tanzania kila siku wanapanda ndege wakizunguka dunia na kufanya show katika nchi mbalimbali za africa, europe na USA, wasanii wa kenya wanaishia kufanya show kwa counties.
viva tanzania.
[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 716724View attachment 716725View attachment 716726View attachment 716728View attachment 716727
Jibaba la miaka 60 unafukuzana na vijana wa kizazi kipya kwani ukiwa kijana ulifanya nini? misplaced priorities?
 
Picha za sgr tz hata kilomita moja from Dar to MOROGORO...Tag me ukiweka otherwise have a nice day.
U talk as if kujenga nikama mie miwili yakwenu imechukua 3 and half years nani aliuliza tatizo lako unalia sana tanzania kufanya makubwa
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Jibaba la miaka 60 unafukuzana na vijana wa kizazi kipya kwani ukiwa kijana ulifanya nini? misplaced priorities?

ni kweli nina miaka 60 na wala si uongo ila nanyorosha majobless yote ya kenya.

majobless ya kenya yanatetemeka yanapokumbana na post zangu..i love this game.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

this is me in my 60s.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
tapatalk_1521197087075.jpeg
 
Back
Top Bottom