Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Kweli kabisa hapa kama mtu hana picha mpya habandiki ili hawa jamaa ni vurugu mtindo mmoja.Hapa kunatofauti kubwa sana kati ya wakenya na watanzania. Kwa watafiti nilikutana na watafiti wa kiongelea uzi huu. Wakenya wana post everyday vitu vile vile huku watanzania wakionesha vitu vingi tofauti tofauti.