Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

And that is why multinational companies choose Nairobi over Dar is slum when setting base in this region and Africa at large. Even Oxform is moving its headquarters from London to Nairobi
Dar real estate value yake ni $12B wakati Nairobi ni $9B, kwa jinsi Nairobi ilivyo ndogo, ukiwekeza hiyo $12B hapo Nairobi, hasi Kibera itakuwa kama Rhunda au Karen
 
And that is why multinational companies choose Nairobi over Dar is slum when setting base in this region and Africa at large. Even Oxform is moving its headquarters from London to Nairobi
Multinational ×10^100
usiwe nyumbu buda...mko nazo lakini mbona real estate ya dar is worth more than urs?Kwani ulidhan Dar tunasubiri flani ndio aje awekeze??Dar kwa %kubwa imejengwa na watz. ..wawekezaji Africa nzima wapo nbo pekee yake hongereni
 
Hamna hata haibu mnajenga flyover ya kwanza 2018 miaka hamsini tangi mpate uhuru. Nairobi tulianza kuona flyovers 1980s
hatujengi vitu ilimradi huwa tunajenga kulingana na mahitaji.....

Flyover kwetu ni kitu cha kawaida tu...,,
 
Multinational ×10^100
usiwe nyumbu buda...mko nazo lakini mbona real estate ya dar is worth more than urs?Kwani ulidhan Dar tunasubiri flani ndio aje awekeze??Dar kwa %kubwa imejengwa na watz. ..wawekezaji Africa nzima wapo nbo pekee yake hongereni
Naona nimetia chumvi kwenye kidonda. story ya real estate inaingiliaje na multinational companies? For a company to aet base in any market, there are a million factors they consider: ease of doing business, avalability of skilled manpower, security, favourable business environment etc etc...kwa ufupi, tumewashinda katika hizo zote ndio maana wanafurila huku na bado wanaongezeka kukuja. Kwanza hapo kwa skilled manpower hamtuguzi hata robo
 
hatujengi vitu ilimradi huwa tunajenga kulingana na mahitaji.....

Flyover kwetu ni kitu cha kawaida tu...,,
Kitu cha kawaida tu na mnapiga nayo kelele hapa ndani kama zombies! sasa zingekuwa
tatu au nne si dunia ingepasuka kwa kelele yenu? Nairobi flyover ni kitu tumeona hadi tukachoka nazo nashangaa huko Dar ni big deal! In kenya, zipo hadi Mombasa, Kisumu na Nakuru
 
Multinational ×10^100
usiwe nyumbu buda...mko nazo lakini mbona real estate ya dar is worth more than urs?Kwani ulidhan Dar tunasubiri flani ndio aje awekeze??Dar kwa %kubwa imejengwa na watz. ..wawekezaji Africa nzima wapo nbo pekee yake hongereni
Real estate gani mko juu...buildings za serikali mpya mpya ndio unaongelea...
kama hata hamna new residential estates za maana,za kuhesabika zile zile sijui AVIC
 
Unazungumzia avic? Dar Ni mji mkubwa sio huo uchochoro wenu nbo ukishatoka CBD mji umeisha, unatoka boko hadi unafika kijitonyama ni nyumba tu mishemishe hakuna pori sasa ulidhan tunategemea mzungu ndio kuwe na nyumba umetaga
 
Kitu cha kawaida tu na mnapiga nayo kelele hapa ndani kama zombies! sasa zingekuwa
tatu au nne si dunia ingepasuka kwa kelele yenu? Nairobi flyover ni kitu tumeona hadi tukachoka nazo nashangaa huko Dar ni big deal! In kenya, zipo hadi Mombasa, Kisumu na Nakuru
Kuwa muelewa ...hatujengi kitu ilinradi huwa tunajenga vitu kulingana na mshitaji.....

Flyover kwetu so kitu......
 
Naona hujanielewa kwasabababu akili yako ni ndogo "In joto LA jiwe voice" hao wamekuja kibiashara zaidi waweze kusambaza album zao Kwa urahisi Kwa sababu Kenya ni shamba LA bibi kwenye music industry
Nb:subiri utakapo ziona album zao kwenye maduka ndio utakapo jua
Tz ni maskini kujaribu kuuza muziki huko ni kama kuuza nguruwe pale Saudia.
 
Unazungumzia avic? Dar Ni mji mkubwa sio huo uchochoro wenu nbo ukishatoka CBD mji umeisha, unatoka boko hadi unafika kijitonyama ni nyumba tu mishemishe hakuna pori sasa ulidhan tunategemea mzungu ndio kuwe na nyumba umetaga
92% slum is Dar city ukitoka nje ni mashambani.
 
Bunju, Boko,Madale, Goba,Mbweni,Tegeta, masaiti,ununio,kunduchi beach, salasala ,mbezi beach,Mikocheni, Kijitonyama, kindondoni B,oysterbay, Masaki ,bahari beach hii pekee ni kinondoni district na hakuna even a place kumekaa hovyo ata moja..
 
Back
Top Bottom