El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
lol.....mtafika tu Nairobi....msijali.....Nje ya mji huku ni 45km radius.
Huko kwenu sjui ni 3km![]()
![]()
na unaandika hapa.
lol.....mtafika tu Nairobi....msijali.....Nje ya mji huku ni 45km radius.
Huko kwenu sjui ni 3km![]()
![]()
na unaandika hapa.
Lol hawajawahi fika NBO ........we forgive themWakati tunaunganisha Nairobi na Naivasha 150 km away nyie bado mko less than 30-45km?
Ha haa......ni rafu sana kwa kweli kuanzia sura zao mpaka mavaziwanawaiga wavuta bangi wa jamaica.![]()
![]()
![]()
Yaani hata hawajui hao.....achana naoBunju, Boko,Madale, Goba,Mbweni,Tegeta, masaiti,ununio,kunduchi beach, salasala ,mbezi beach,Mikocheni, Kijitonyama, kindondoni B,oysterbay, Masaki ,bahari beach hii pekee ni kinondoni district na hakuna even a place kumekaa hovyo ata moja..
lol......Desperate propaganda......Thika imeshikana na Nairobi na ni 50kms away....Machakos 69 kms away.....limuru 89kms away.........hiyo ndio Nairobi my friendDiameter ya Nairobi haizidi 20Km, very very small city
Dar Ni kubwa kwa Nai unganeni na garissa kabisa hamtoshi mbogalol......Desperate propaganda......Thika imeshikana na Nairobi na ni 50kms away....Machakos 69 kms away.....limuru 89kms away.........hiyo ndio Nairobi my friend
Dar ni Case study juu hamna mji wowote duniani 92% yake ni slum dwellers ndio maana takwimu zake hazipo bado utafiti unaendelea na kuwashangaza wengi how this is possible...maybe soon itatangazwa kwenye World Guinness book of records ama kwa The 8th wonder of the world ....A slum/rusty roofs(92%) mixed up with Sky scrapers and the beach(8%).
MinaziKatafute google kwanza dar ni mashuhuli kwa kilimo gani kwenye hayo mashamba uliyotaja hapa.
Kisha ujione ulivyo mlevi.
So hapa mliingiaje😀😀😀slum area ya Nairobi ni 4% .....wengine kama Dar wako 80% slum level ....hahaha
The honest Tanzanians who've travelled know that Dar is no match for Nairobi......utajaliwa ufike tu siku moja ufyate mdomo......hahaha.we are not ranked a non ldc country by mistake......take a honest look at yourselves and start working harder ....slandering Kenya and Kenyans on grapevine sites like jamii forum won't help
kwani hizi picha mlizopost toka page one ni mombasa pekee,au kuna picha za nai hamjapost bado tuwaitishe???Siwezi click weka Picha mzima mzima.

Nchi tajiti hii hapa😀😀😀😀Tz ni maskini kujaribu kuuza muziki huko ni kama kuuza nguruwe pale Saudia.
Shusha hiyo picha mpaka chini buda,ile chalk colour kule mbali ndio imetoa kamasi kenya nzima.ni density ya kuulia mkenya popote ulimwenguni

That's why Nairobi is a metro of 8 million people...........Fika namanga border uone estates za Nairobi zikianzia hapo......I tell you we aren't like Tanzanians who wait for government to do everything for them......Kenyans through saccos build massive estates ......what we call the "Harambee spirit" ..........just ask a honest friend atakupasha tu habari....lolDar Ni kubwa kwa Nai unganeni na garissa kabisa hamtoshi mboga
Uhahahah maumivu yamekushika vyemaSiwezi click weka Picha mzima mzima.
Hakuna shamba la mnazi dar.Minazi