Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,297
- 3,648
hata mi nilimjulia Benjamin Fernandez hapa JF last last year. No wonder nilipost tweet yake hapa juzi aki mock Wakenya bila caption, walalas wakaanza tokwa na mapovu.oops, nilidhani unasema amekuja kufanya collabo na mwanamziki wa kenya. kumbe amekuja kwa ajiri ya uzinduzi wa albam yake?.![]()
have you asked yourself the question why he is not doing music collabos with kenyan artists?.ukipata jibu kaa nalo.![]()
![]()
![]()
NB:
kumbe Benjamin Fernandez huko kenya ni celebrity?.![]()
![]()
... huku tz watu wachache sana wanamfahamu.binafsi najua ni mtoto wa mchungaji, zaidi ya hapo sijaona impact yake kwa taifa hili zaidi ya porojo zake za kusoma USA.