Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rwanda, Congo, Burundi,Uganda ndio kuna shida kidogo Kenyaa pekee kwa vile hujawah toka nje ya garissa
Nafikiri utasema Nigeria. south africa........na Rwanda uwezi nindanganya..,....nyie mnasikizwa Kenya 2 alafu mnajiita international...ukalubandika 2
 
Ulitaka niseme kitu sina uhakika nacho, btw sound city t.v. wanapiga sana nyimbo zetu ni channel ya naija,channel 0 ya S.A.. ...mtv nk nyie mlishajifia kitambo
 
Sasa wewe ndio unazungumza kwa niaba ya ichoboy? Tangu lini umekuwa msemaji wake? Kama moderator angefaa ajulishwe juu ya matusi basi hiyo ilikuwa ni jukumu la ichoboy, sio yako kwa sababu ni yeye nilimtusi, si wewe. And just in case it Is your duty to report matusi kwa moderator, mbona hukureport ichoboy coz ni yeye alinitusi kwanza? Mimi nilichofanya ni kurudisha matusi yake. For the third time, ambia moderator
Ninaamini ujumbe umeupata, hapa hatukubaliani na matusi wala mawazo ya ukabila, kama unahisi watanzania wanakuonea au kukubagua, you can exit the forum, unaweza kurudi huko kwenye forum zenu zilizojaa ukabila na matusi, we are a civilized society, not man eat man.
 
4730452166_aeb5b78f98_b.jpeg
East Upanga,picha ya mwaka 2005...no filter
 
Ninaamini ujumbe umeupata, hapa hatukubaliani na matusi wala mawazo ya ukabila, kama unahisi watanzania wanakuonea au kukubagua, you can exit the forum, unaweza kurudi huko kwenye forum zenu zilizojaa ukabila na matusi, we are a civilized society, not man eat man.
mbona usianzishe forum yako uweke rules zako huko uzitakazo kisha tuje. hii ni section iliyotengwa kwa ajili ya Wakenya ndio maana tuko hapa. kama wewe sio Mkenya una haki ya kujiunga na sub-forums zengine nyingi zilizopo. aisee usituletee vikwazo hapa
 
Wanaume hatulii liii namna hii...ukiambiwa ukweli unameza mate maisha yanaendelea
 
mbona usianzishe forum yako uweke rules zako huko uzitakazo kisha tuje. hii ni section iliyotengwa kwa ajili ya Wakenya ndio maana tuko hapa. kama wewe sio Mkenya una haki ya kujiunga na sub-forums zengine nyingi zilizopo. aisee usituletee vikwazo hapa
Mimi sijaja na sheria mpya, hizi sheria ninazosema ndizo sheria zinazoongoza JF yote, iwe ni subforum ya Kenya au nchi nyengine yoyote, kama hufuati sheria za JF hupaswi kujiunga au kuchangia. Kuwepo kwa page maalumu kwa ajili ya nchi ya Kenya, haina maana kwamba hiyo subforum ni kwa ajili ya wakenya, bado JF yote ni Tanzanian, lakini wengine mnakaribishwa, kwahiyo ni muhimu kufuata mila na desturi za Tanzania.
 
and who are you to say these words >>>
kama unahisi watanzania wanakuonea au kukubagua, you can exit the forum, unaweza kurudi huko kwenye forum zenu zilizojaa ukabila na matusi, we are a civilized society, not man eat man.
 
Ninaamini ujumbe umeupata, hapa hatukubaliani na matusi wala mawazo ya ukabila, kama unahisi watanzania wanakuonea au kukubagua, you can exit the forum, unaweza kurudi huko kwenye forum zenu zilizojaa ukabila na matusi, we are a civilized society, not man eat man.
Huwezi nitoa humu kwa sababu hukunialika in the first place. Ujumbe gani nipate kwa mtu kama wewe ambaye hatumii akili kufikiria? Kama matusi imetokea, ungefanya vyema kujua nini kilisavabisha matusi na nani alianza matusi, sio kuniletea vitisho vya shilingi mbili as if kukaa huku inanisaidia kujikimu kimaisha. Wewe kijana wa tandale kwa uswazi pambana na maisha ya ldc uachane nami na si tafadhali
 
Kama mlikua mnaonyesha sasa kwann iyo post inawatoa povu kwani nan hajui tuko 21st century?Mnataka kujidanganya Kenya yote mmejenga kwa lami? Mfiche aibu zenu wakt mwingine
The reason why that post attracted my attention is because that is a very normal road of just two lanes; there's nothing unique in that road. Barabara kama hiyo zinapatikana all over Kenya and Tanzania. I don't understand what informed your decision to bring such a road coz ni barabara tu like any other.
 
Nanyi hupost road za two lanes pia, btw uko isaka hawakua nayo nadhan ndio imezinduliwa...sometimes spare energy tuna mambo mengi ya kudiscuss
 
Point taken. Napenda watu wasiokuwa na hisia kama wewe...hata sisi tumezipost lakini nyingi za hizo picha ni za nje ya Nairobi, sana sana kule kaskazini mwa Kenya
 
And can you please stop showing us comments from twitter? They don't make any reasonable sense, you don't feel stupid using them as evidence?
So if I tweet that Tanzania is more developed than South Africa then suddenly you take a screenshot right?
Well bring us statistics, actual studies, research that has been done
LDC mentality
 
Pelekea wazungu hii taarifa,haiwezekani dar haimo katika takwimu za makazi duni duniani ila nairobi.
Dar ni Case study juu hamna mji wowote duniani 92% yake ni slum dwellers ndio maana takwimu zake hazipo bado utafiti unaendelea na kuwashangaza wengi how this is possible...maybe soon itatangazwa kwenye World Guinness book of records ama kwa The 8th wonder of the world ....A slum/rusty roofs(92%) mixed up with Sky scrapers and the beach(8%).
 
Kwahiyo hadi hapo utafiti utakapokamilika na Tanzania kuwekwa kwenye hiyo Guiness book of records ndiyo utakuwa na haki ya kusema, kabla utafiti mwengine haujatoka, matokeoa ya utafiti wa mwisho kutoka ambayo yanaonyesha kwamba Nairobi inaongoza kwa slums Africa, na kwamba Dar hakuna slums, ndiyo yanayotumika hadi sasa
 
Back
Top Bottom